Mengine tunajikaza kiume tu.Wewe kwani hujawahi kasirika uliponyimwa?
Eti ehBaadhi tu wa wavulana ndio wanasema hivyo mwanaume wa kweli kama umemkataa kwa zereu huwa hakuwachi hata mwaka anakusumbua tu na pesa anakupa ukirogwa kumvulia chupi mbio nyingi
KweliMengine tunajikaza kiume tu.
TrueHata usiohope kuambiwa upo shapeless.
Wakati anakufukuzia ulikuwa hivyo hivyo.
Ni maneno ya mkosaji tu especially from these petty men with low self esteem.
Hoja yako mchecheto SanaNilikuwa naangalia movie ya kinigeria.
Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai .
Yaani maneno kibao yasioyaheshima basi yule dada akabidi amwambie anamtu wake ndio maana hakuona haja yakusaliti penzi lake.
Ila wakaka sio kila mtu unamdis kisa hakutaki au anamahusiano mengine eleweni kuwa sio kila mwanamke atakupenda
ukiona mdada wafanyiwa hivo basi amini una kaa mashenzini watu hawana maisha bomba.Hama huko!Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria.