Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria.
Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai .
Yaani maneno kibao yasioyaheshima basi yule dada akabidi amwambie anamtu wake ndio maana hakuona haja yakusaliti penzi lake.
Ila wakaka sio kila mtu unamdis kisa hakutaki au anamahusiano mengine eleweni kuwa sio kila mwanamke atakupenda