Kwanini wanaume wa Kenya ni wabahili?

Focus yapo ipo kwenye productive things zaidi ndio maana wanamaendeleo zaidi ya wabongo, sex kwao ni subsidiary.
Bongo tunajua umbea na michepuko kwa sana.
 
]jumapili nivigumu kuwakuta bar

Hapo kwa Jumapili nakubaliana nawe but I guess it's about cultural differences. WaTz wanapenda kujisocialize Jpili mchana after kutoka church, Kenyans wanapenda kujirusha Ijumaa usiku na Jumamosi usiku. Nimeishi Dar, nishalala Moshi na Arusha pia but ni vigumu sana kupata waTz wakikesha kwenye bar

Another factor is prices of alcohol. Pilsner in Tz ni about Ksh. 75 (Tsh. 1500), serengeti ni Ksh. 100(Tsh. 2000). In Kenya Pilsner ni Ksh. 170 (Tsh. 3400)
 
Kwanza kenya hakuna madem wazuri ndo mana wanaume hawatumii pesa

Kenya wanawake wako very hardworking and successful. Ukitaka kunua pombe ndio ukalale naye, utanunua mwaka mzima. Tanzania on the other hand, wanawake wako very cheap. Unanunua bia leo, kesho unalala naye.

On the issue of beauty, inategemea na mtu. Wapo wanaoheshimu mwanamke ako independent, wengine wanaheshimu brains, makalio, umbo, urefu, sura, etc.
 
Nafikiri tunakosea sana kuongea kwa ujumla 'generalization' nimeshakamatia dem mitaa ya equity Ngara na downtown CBD mida ya mchana tunapatana tuonane sehemu jioni for supper, baada ya misosi mimi na Tusker yangu dem anaagiza Smirnoff ice baada ya hapo sio Suzy, Wanjiku au Ann wote ni mwendo wa kuremove panty..
 
Kuna mkenya alitoka Nairobi kuja Dar kufanya setting ya dish la satellite/vsat kwa ajili ya internet/data.Tulikuwa tukitumia connection yao.Alidai kulipwa cash.Kulipwa pesa kumbe yule jamaa alivaa kaptula ndani yenye mifuko .Alisunda hela humo ndani yaani watu ofisi nzima walicheka!
 
Kenya wanawake wako very hardworking and successful. Ukitaka kunua pombe ndio ukalale naye, utanunua mwaka mzima. Tanzania on the other hand, wanawake wako very cheap. Unanunua bia leo, kesho unalala naye.

On the issue of beauty, inategemea na mtu. Wapo wanaoheshimu mwanamke ako independent, wengine wanaheshimu brains, makalio, umbo, urefu, sura, etc.
Hamna nchi ambayo wanawake wanapenda wageni kama Kenya mwanamke wa kikenya akijua wewe ni foreigner basi unamlala kirahisi saaana wanawake wa huko wana dharau sana wanaume wao ila kwa wageni wanawashobokea sana wengi ukiwapa mtoko siku hiohio ushalamba ndo maana wa Nigeria wanawatesa sana madem wakikenya siku hizi
 
Moja kati ya nchi yenye wanaume bahiri ni Kenya hapa barani Africa. Tofauti na Nigeria, Uganda au Tanzania ambapo wanaume wanatumia sana pesa kwenye starehe kwa Kenya ni tofauti sana. Nivigumu sana mkenya kumkuta analipia bill ya watu aliokuwa anakunywa nao. Kenya hata mkwinywa kwa pamoja kila mtu atalipa bill yake. Nawakinywa beer nyingi ni tatu. Nigerians hao kwanza wanapigania ninani alipe bill ya mwenzake they are very social. Ugandans wao wanaweza kulipia bar nzima na pesa nyingine wana splash. Tanzanians ndo usiseme mtu anauwezo waukulipia bill week nziwa wewe kazi yako ni kwenda kunywa nakumwambia waiter '' bang on the bill".

Ubahiri umefanya hadi wasichana wa Kenya kuliwa na wageni wanaotoka nchi nyingine. Mkenya anaugumu kumuhonga mwanamke pesa huku alipewa muhogo ufanye kazi. Pesa makaratasi hasara roho. The more you spend the more you make.

Wanigeria na watanzania tutazidi kula wake zenu. Hivi kumpa mwanamke kama Huddah kama Ksh 250,000/= ukalamba Sukari yake au Betty Kyallo unapungukiwa nini? Pesa unakufa unaiyacha. You can never build an empire through money my dear Kenyans its only through people. Ila ningeomba hata kwenye vinywaji mpunguze ubahiri jameni. Biashara kubwa hufanyika bar, mtajikosesha opportunity za pesa ndefu. Hizo apartments wanazo nunua wa Nïgeria wanazitumia kula wake zenu. Tumia pesa ikizohe. Be like an animal it just eats knowïng tomorrow ït will eat again.
Mkuu, hiyo Ksh 250,000 unajua ni almost Tsh 5,000,000? Yaani uhonge mwanamke kwa mlo 1? Mimi ni Mtanzania lakini katika hili nadhani tupo ulimwengu tofauti na wewe aise.
 
Back
Top Bottom