Kwanini wanaume wa Kenya ni wabahili?

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,720
Points
2,000

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,720 2,000
Moja kati ya nchi yenye wanaume bahiri ni Kenya hapa barani Africa. Tofauti na Nigeria, Uganda au Tanzania ambapo wanaume wanatumia sana pesa kwenye starehe kwa Kenya ni tofauti sana. Nivigumu sana mkenya kumkuta analipia bill ya watu aliokuwa anakunywa nao. Kenya hata mkwinywa kwa pamoja kila mtu atalipa bill yake. Nawakinywa beer nyingi ni tatu. Nigerians hao kwanza wanapigania ninani alipe bill ya mwenzake they are very social. Ugandans wao wanaweza kulipia bar nzima na pesa nyingine wana splash. Tanzanians ndo usiseme mtu anauwezo waukulipia bill week nziwa wewe kazi yako ni kwenda kunywa nakumwambia waiter '' bang on the bill".

Ubahiri umefanya hadi wasichana wa Kenya kuliwa na wageni wanaotoka nchi nyingine. Mkenya anaugumu kumuhonga mwanamke pesa huku alipewa muhogo ufanye kazi. Pesa makaratasi hasara roho. The more you spend the more you make.

Wanigeria na watanzania tutazidi kula wake zenu. Hivi kumpa mwanamke kama Huddah kama Ksh 250,000/= ukalamba Sukari yake au Betty Kyallo unapungukiwa nini? Pesa unakufa unaiyacha. You can never build an empire through money my dear Kenyans its only through people. Ila ningeomba hata kwenye vinywaji mpunguze ubahiri jameni. Biashara kubwa hufanyika bar, mtajikosesha opportunity za pesa ndefu. Hizo apartments wanazo nunua wa Nïgeria wanazitumia kula wake zenu. Tumia pesa ikizohe. Be like an animal it just eats knowïng tomorrow ït will eat again.
 

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
9,584
Points
2,000

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
9,584 2,000
Kuna jamaa humu alisema mada zinazokuhusu ni jukwa la mapenzi, sasa unataka wanaume wa Kenya wakununulie beer ili iweje.
Huyo jamaa, nakuhakikishia hajawai kanyaga nje ya mkoa alikozaliwa acha Kenya! Watu kama huwa hawaeleweki. Sijui nikupuliza sana moshi wa kuni, hadi unawaingia kwenye medula?
 
Last edited:

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,918
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,918 2,000
Kuna mkenya mmoja huja Mwanza mbona huwa analipa bill na sio bahili kabisa akilala na mwanamke anampa laki2 au 3
Hehehehe!! Bora akina dada mseme maana mleta mada japo sijajua jinsia yake, lakini kama ni mwanaume nitamshangaa sana, yaani mwanaume ulalamike kwamba wanaume hawakununulii bia.
 

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,866
Points
2,000

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,866 2,000
Hehehehe!! Bora akina dada mseme maana mleta mada japo sijajua jinsia yake, lakini kama ni mwanaume nitamshangaa sana, yaani mwanaume ulalamike kwamba wanaume hawakununulii bia.
Nasikia ni kweli wakenya wachoyo,lakin kwa huyu kaka labda kwa vile ana mapesa mingi ana hotel kubwa Kenya
 

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,720
Points
2,000

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,720 2,000
Kuna jamaa humu alisema mada zinazokuhusu ni jukwa la mapenzi, sasa unataka wanaume wa Kenya wakununulie beer ili iweje.
Mada nikwamba nie ni wabahiri tena sana. Hata mwamke mnataka mlale nae bure mumuachie harufu ya condom. Hata pesa ya sabuni(soap) hamtoi. Mjifunze kujumuika. Dunia ni watu sio pesa. Bila watu hupati pesa. Wenani unaetaka kula pekeyako
 

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,720
Points
2,000

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,720 2,000
Kuna mkenya mmoja huja Mwanza mbona huwa analipa bill na sio bahili kabisa akilala na mwanamke anampa laki2 au 3
Huyo ni mjaluo omba usikutane na mkikuyu
Pia wakenya wanaosafiri wameelimika wanajua kuji changanya. Fika Kenya Nairobi. Nimuogo baadae kibao juu. Alafu mkenya huwa apendi msichana mweupe, kwani wanaogopa gharama.
 

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,720
Points
2,000

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,720 2,000
Hehehehe!! Bora akina dada mseme maana mleta mada japo sijajua jinsia yake, lakini kama ni mwanaume nitamshangaa sana, yaani mwanaume ulalamike kwamba wanaume hawakununulii bia.
Huyo ni mjaluo sio wewe mkikuyu. Mimi nime wanunulia sana wakina Kinyanjui na Gathecha beer sana hapo Kenya na wanawake juu. Kwanza sikujua kuwa mnaogopa wanawake weupe kwa sababu eti price yao iko juu. B Bar hapo Nairobi wakikuyu nimewanunulia sana wanawake weupe na beer at my own cost. Lakini nilichogundua mnajishusha dhamani hadi wasichana huko wanawazarau.
 

Forum statistics

Threads 1,381,722
Members 526,179
Posts 33,809,892
Top