ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,858
- 60,842
Unaweza ukampenda mtu kwa dhati kipindi una vihela kidogo ila ukiishiwa kabisa ndani ya muda mfupi sana unaogopa unaweza hata kuombwa hela ya bundle ukambwela,hamu na tendo kukata,kujiona comedy n.k...ebu nishaurini nikiwa katika penzi la hali hiyo inamaanishaje?
Ni mimi sijiamini tatizo lipo kwangu au ndo dalili zenyewe za upungufu wa hela mwilini zinakuwaga hivyo.
Ni mimi sijiamini tatizo lipo kwangu au ndo dalili zenyewe za upungufu wa hela mwilini zinakuwaga hivyo.