Kwanini wanaume mmepunguza kuhonga?

Zamani kulikuwa na kitobo leo MATOBO aka two in one unaanzaje honga😂😂
 
Tusamehe bure we mwanamke Kwani leo wanaume tumekukosea nini?

Kwahiyo kila tukikulala unataka nyumba?
 
Tumegundua maendeleo ni fursa muhimu kuliko kukesha kuhomga,sasa angalia toka tumeacha au kupunguza kuhomga jinsi majumba mazuri yanajengwa,kuhonga zilipendwa
 
Kwamba vocha unapata wapi?? Hii dunia yani hadi vocha huwezi nunua heheh sasa wewe na matonya tofauti nini?
 
Tumegundua maendeleo ni fursa muhimu kuliko kukesha tunahonga,sasa angalia toka tumeacha au kupunguza kuhonga jinsi majumba mazuri yanajengwa,kuhonga zilipendwa
 
Kuanzisha uhusiano na mwanamke tegemezi ni mtihani mkubwa sana.

Wengi hukimbilia ushirikina kumpumbaza Mwanaume afanye atakavyo.

Na ndio vivuruge wa ndoa za watu.!
 
Kwanza nianze na kukasirika kama kuna watu wanajifanya wanajijua vile eti Herufi kubwa wewe jinsia gani niseme tu haiwauhusu.


Story kweli: Nilivyoweza kuwa malaya niliyekubuhu
 

Acha Kuuza hilo CHOGO ulipewa bure
 
Nenda kajitongozeshe kwa harmonize akuhonge range, wengine tunamiliki tonda range la kukuhonga hatuna.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…