ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Wanawake wenyewe hawajidhamini .utasikia mwanamke anamwambia mwanamke usiwe kama mwanamke weeee.mimi siwafichi ningekuwa mwanamke ningefurahi sana .kila kitu bureeee
Duuu...UNATAMANI KUA MWANAMKE???
Ukiendekeza wanawake/mwanamke unaweza kuwa mwehu.
Wanawake walio wengi ukiwathamini wanakuumiza hisia zako tu.
Kinachotakiwa ni kumuonyesha mwanamke ile sitaki nataka ili ashindwe kuusoma mchezo.
Pia wanawake baadhi wakishikwa vizuri wanakuwa na viburi.
mi mwenyewe nmeshikwa bana ingawa najitahidi kujinasua lakini waapii!.
Ukiendekeza wanawake/mwanamke unaweza kuwa mwehu.
Wanawake walio wengi ukiwathamini wanakuumiza hisia zako tu.
Kinachotakiwa ni kumuonyesha mwanamke ile sitaki nataka ili ashindwe kuusoma mchezo.
Pia wanawake baadhi wakishikwa vizuri wanakuwa na viburi.
MI MWENYEWE NIMESHIKWA BANA INGAWA NAJITAHIDI KUJINASUA LAKINI WAAPII!.
Wanawake wenyewe hawajidhamini .utasikia mwanamke anamwambia mwanamke usiwe kama mwanamke weeee.mimi siwafichi ningekuwa mwanamke ningefurahi sana .kila kitu bureeee
Unawekewa vocha bureeee.lift barabarani gari unachagua upande lipi maana yanayosimama kwa ajili yako ni mengi.
Ulishaambuwa mwanamke ni shetani, sasa unataka kuthamin shetani? Lizybert vipi ww?