Muda mwingine watu tukikaa sana single huwa tunajikuta tunakurupuka kwa mwanamke yeyote ili kutoa ule upweke,sasa tukija tulia ndo tutajua kama alikua chaguo sahihi ama laa.
mkuu ungeanza kuwashauli wanawake kwanza wawajali na kuwathamini waume wao sbb hilo pia ni tatizo sijajua utafiti wako umehusisha idadi gani ya wanaume na wanawake walio kwenye ndoa lkn unaweza kuta inakuwa ni tofauti na unavyofilkiri
Wanawake wenyewe hawajidhamini .utasikia mwanamke anamwambia mwanamke usiwe kama mwanamke weeee.mimi siwafichi ningekuwa mwanamke ningefurahi sana .kila kitu bureeee
Wanawake wenyewe hawajidhamini .utasikia mwanamke anamwambia mwanamke usiwe kama mwanamke weeee.mimi siwafichi ningekuwa mwanamke ningefurahi sana .kila kitu bureeee
Hi wakuu.
Naleta uzi huu kutokana na kwamba naona wanaume wengi hawawathamini wanawake zao pindi wawapo katika mahusiano unaweza kukuta binti kakuta mwanaume hana kitu wala hafikirii kutoka alipo akamshauri vizuri lakini mwisho wa siku akaona mwanamke huyo hafai tena ilihali kamtoa sehemu moja kwenda ingine yawezekana kiuchumi, kikazi, ama ktk mazingira aishiyo.

Lakini pindi tu mwanaume anapoamua kumuacha huyo mwanamke huwa hafikirii kwamba wanawake hawafanani? Nawasihi wanaume hebu mkishikwa shikilieni basi ukipata mwanamke anayejitambua tulia naye lasivyo utaangukia kwa gumegume na huo msiba utalia mwenyewe.
Asanteni