Kwanini wanaume (ambao si mashoga) hawajiuzi kama wanawake wanavyofanya?

thanks wadau wote, for your ideas and contributions. its nice guys to chat with you. good day.
 
Biashara ni kuuza na kununua na Muuzaji na Mnunuzi wote ni Wafanyabiashara. Wewe tatizo lako lipo kwa Mnunuzi tu?
 
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.

mkuu kuna wanaume wanajiuza. nenda pale mlimani city usiku. kuna ile club pupa alipofanyia show kwa mara ya mwisho dar. wapo kibao wanajiuza. nikikumbuka jina la club ntakwambia ukashuhudie. mia
 
Natatizika sana na tabia hii ya wanawake kujiuza kingono bar/madangulo, why not men? au wanaume tu ndio hu enjoy.

ah kuna market ya wanawake wanaotaka kugegedwa na madume mpaka sie wanaume tuanze kutoa service ya kuwaridhisha wanawake?
 
Umekatiza mitaa ya sinza? Kuna visharobaro kibao vinalelewa na majimama ni hela yake tu mwanamke anajitwalia mmpaka poda maridadi kabisa.
 
Wasipokuwepo wanunuzi, automatikale wauzaji watapotea!
Wanaume mkiacha kununua tutakosa pa kuuzia!

Lkn siku hizi kuna wanunuzi wanawake hivyo na bidhaa (wanaume) zipo. Check posts za kutafuta majimama zinavyoongezeka.
 
Back
Top Bottom