Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
- Thread starter
- #41
Wewe ndio Faraja Kota?
Nadha huyu dada na ndoa yake ipo poa kabisa. No skendo. Nitofauti na wanasiasa wengi sana
Wewe ndio Faraja Kota?
Unafahamu kama Obama na mke wake wametengana vyumba? Au unaandika tu kuosha mdomo?
tusiwalaumu wabunge na madiwani, hata mku wa nchi familia yake hatuijui. hata ya kuzugia for public interest.
ukiuliza ana wake au watoto wangapi no body knows. Kagame is very open na mfano mzuri kwa maraisi wa EAC, nimegoogle hapa lol naona familia ya KAGAME WENGINE HAKUNA KITU.
Somo la uchambuzi wa taarifa umeanguka !!! Hakuna aliyesema wote, hata mtoa mada kasema baadhi ya .......na badaye amesema wengi wa........na katika thread uliyo-quote imesema wengi......maneno baadhi ya ......wengi wa....hayamaanishi yeyote ........yeyote ni sawa na wote. Kwa hiyo endelea na huyo uliye naye lakini keep an eye on him kama sio material utagundua mwenyewe kulingana na vigezo vyako kuhusu aina ya mume/mke anayemtaka, kila mtu ana vionjo vyake.
we unaonekana una akili sana. Sasa basi, je wewe ni -me au -ke? na je ni mwanasihasa?
Pelea siasa uone shughuli yake... unampa mtu sababu ya kuchepuka.Kwahiyo kwenye Ndoa Siasa marufuku
Mkuu, una maswali mengi, kwani wewe ni Polisi ? Katika hali formal introduction, unaanza wewe kwa kusema mimi mandera, ni jinsia ya kiume/kike na ni mwanasia/ sio mwanasiasa. Je, wewe mwenzangu sawabho ni nani ? Hapo sasa utakuwa umenikamata nitajibu kama ulivyoanza. Unategemea nini kuniuliza maswali makavu kama hayo uliyouliza hapo juu.
na wewe mwanasiasa?
hahahaaaaaa Kilazaaa umeniacha hoi
utangulizi si ndo huo kuwa unaonekana una akili sana? nimekutamani tu jamani, yaani nimekuadimaya
ooraitO.k. Haina shida Mkuu, lakini mambo kama hayo mambo kama hayo yanahitaji faragha, ndio maana kakawepo na PM ambako kama unahitaji la ziada unapitia hapo, Wahenga walituasa kutomwaga mtama kwenye kuku wengi. Kwa mantiki hiyo, nakukaribisha kwenye pm, utajibiwa kulingana na kanuni na taratibu stahili. Tatizo la JF, uanaweza kuwa unayechat naye ni mkeo, mumeo, mpenzi au mchepuko wako bila kufahamiana !!!