Kwanini wanasiasa wengi hawana ndoa imara?

tusiwalaumu wabunge na madiwani, hata mku wa nchi familia yake hatuijui. hata ya kuzugia for public interest.
ukiuliza ana wake au watoto wangapi no body knows. Kagame is very open na mfano mzuri kwa maraisi wa EAC, nimegoogle hapa lol naona familia ya KAGAME WENGINE HAKUNA KITU.
 
Jamani msimguse presida wetu!
 
so mnataka tuamini mwanasiasa yoyote sio husband material

Somo la uchambuzi wa taarifa umeanguka !!! Hakuna aliyesema wote, hata mtoa mada kasema baadhi ya .......na badaye amesema wengi wa........na katika thread uliyo-quote imesema wengi......maneno baadhi ya ......wengi wa....hayamaanishi yeyote ........yeyote ni sawa na wote. Kwa hiyo endelea na huyo uliye naye lakini keep an eye on him kama sio material utagundua mwenyewe kulingana na vigezo vyako kuhusu aina ya mume/mke anayemtaka, kila mtu ana vionjo vyake.
 
Hasa MaCCM... ndio maana dodoma machangudoa wametamalaki
 
Somo la uchambuzi wa taarifa umeanguka !!! Hakuna aliyesema wote, hata mtoa mada kasema baadhi ya .......na badaye amesema wengi wa........na katika thread uliyo-quote imesema wengi......maneno baadhi ya ......wengi wa....hayamaanishi yeyote ........yeyote ni sawa na wote. Kwa hiyo endelea na huyo uliye naye lakini keep an eye on him kama sio material utagundua mwenyewe kulingana na vigezo vyako kuhusu aina ya mume/mke anayemtaka, kila mtu ana vionjo vyake.

Kama huyu ni mke wa waziri atakuwa waziri mmoja hivi kaoa kifaa flani hivi kizuri kwa mtazamo wangu naona utulivu upo kwenye hii ndoa! Maana mrembo mwenyewe darasani yupo vizuri pia alikuwa miss tz. Naweza kusema 100% ingawa wanavyotwangana huko ndani mimi sijui!! Maana mambo ya ndoa ni ya wawili
 
Wewe ndio Faraja Kota?
 
Back
Top Bottom