Katika kudadisi na kuperuzi limenijia Wazo la kutaka kujua asili, maana na sababu za wanandoa kuvaa Pete kwenye kidole chake baada ya kufungua ndoa .
Je kuna umuhimu wa kufanya hivyo?
Kwanini isiwepo alama nyingine kama kuchora tatoo kama lengo ni utambulisho kuwa Uko na mwenza wako.(maana Pete Inaweza vuliwa fasta).
Ni upagani asili yakeKatika kudadisi na kuperuzi limenijia Wazo la kutaka kujua asili, maana na sababu za wanandoa kuvaa Pete kwenye kidole chake baada ya kufungua ndoa .
Je kuna umuhimu wa kufanya hivyo?
Kwanini isiwepo alama nyingine kama kuchora tatoo kama lengo ni utambulisho kuwa Uko na mwenza wako.(maana Pete Inaweza vuliwa fasta).
Maisha hayana kanuni/Formula.Katika kudadisi na kuperuzi limenijia Wazo la kutaka kujua asili, maana na sababu za wanandoa kuvaa Pete kwenye kidole chake baada ya kufungua ndoa .
Je kuna umuhimu wa kufanya hivyo?
Kwanini isiwepo alama nyingine kama kuchora tatoo kama lengo ni utambulisho kuwa Uko na mwenza wako.(maana Pete Inaweza vuliwa fasta).
Wacha uongo bhana.Kuvikana Pete asili take ni upagani toka kwa wagiriki ambao waliadopt toka kwa wamisri. Kwa imani ya kigiriki, kidole cha pili toka mwisho kina mshipa wa Neva ulionyooka unaoenda moja kwa moja moyoni. Hivyo, unapomvika Pete umpendaye ktk kidole hicho utakuwa umeifunga moyo wake kwako tu kupitia msaada wa mungu mke wa mapenzi na uzazi "Diana".
Hiyo ni imani ya kipagani ya kigiriki inayofuatana na uvaaji wa Pete kidole cha pili toka kile cha mwisho.Wacha uongo bhana.
Hakuna mshipa wa neva kutoka mkononi unaoenda moyoni
Mkuu sababu sio ya Kidini, ni vizuri ukatofautisha kati ya Mambo ya Dini na Mambo ya Utamaduni; Pete haina mahusiano ya Moja kwa moja na Maagizo ya Kidini, isipokuwa ni Utamaduni fulani ambao watu wamejiwekea kufanya wakati wa mambo fulani fulani; na ndio maana wapo baadhi ya Christians hawavai pete kwenye matukio hayo, na bado wanaendelea na Maisha; Infact Pete ni kama ishara tu lakini, kimsingi haya mambo yote ni ya Moyoni zaidi, ni commitment za Dhamiri zaidi;Sababu hasa ni ya Kidini, hasa kwa kidini ya Ukristo wa Kizungu, sababu yake ni ishara ya kwamba watu wawili wameungana na kuwa kuwa kitu kimoja milele, na ndiyo maana ni ya Duara, umbo la Duara linamaanisha milele!
Ni upagani uliojikita ktk dini kwa manufaa ya wafanyabiashara.Mkuu sababu sio ya Kidini, ni vizuri ukatofautisha kati ya Mambo ya Dini na Mambo ya Utamaduni; Pete haina mahusiano ya Moja kwa moja na Maagizo ya Kidini, isipokuwa ni Utamaduni fulani ambao watu wamejiwekea kufanya wakati wa mambo fulani fulani; na ndio maana wapo baadhi ya Christians hawavai pete kwenye matukio hayo, na bado wanaendelea na Maisha; Infact Pete ni kama ishara tu lakini, kimsingi haya mambo yote ni ya Moyoni zaidi, ni commitment za Dhamiri zaidi;