Kwanini wanandoa wanachepuka?

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
309
Reaction score
221
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU...

Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada
KWANINI WANANDOA wanachepuka...

Kuchepuka huku kwanza kabisa ni kule wengi wao unakuta wanarudiana na x wake hili swala ni mtambuka sanaa katika kizazi cha leo watu wengi sana wanaoa au wanaolewa kwa kigezo tu waonekane wapo kwenye ndoa.

Unakuta mtu mfano binti alikua na jamaa kwenye mahusiano kwa mwaka moja mpaka miwili kisa tuu jamaa labda hana pesa ila mambo mengine yupo vizuri kuanzia kitandani ila binti kwa kukosa uvumilivu na kwa kua wanapenda slope yupo radhi aje aolewe na kibopa kisa tu jamaa anapesa na atakula bata naye ila ndani ya moyo hamna mapenzi ya kweli kabisa.

Baada ya ndoa unakuta binti anaanza kurudiana na mpenzi wake kwa siri kwa sababu mfano bwana yake anakibamia na pili aliolewa kwa sababu ya hela tuu.
Mwisho wa siku akija kuachwa anaanza kulalamika.

Ila haya ya kuvunjika kwa ndoa yamesababishwa na kushuka kwa maadili na pili siku hizi hatua ya uchumba haizingatiwi vizuri kabisa.

Njoo tupeane mawazo yako
 
Asili haachi asili

Tena 80% yao wanaochepuka
Nao n x wao walikua nao
Before ya kuoa/kuolewa



[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kwa sababu, katika ndoa watu Wengi hawapo vizuri kimahusiano ya tendo la ndoa.
Japo, huku nje wanandoa wanacheka na kuigiza maisha ya kifilipino.
Ila Kwa ndani hawaelewani, hawashiriki mto ngono, wala kuongea vizuri.

Hiyo ndiyo sababu kubwa sana. Ila tatizo la kujaribu miti mingine Kwa kigezo cha kuelewa radha ya matunda hayo yaliyotofauti na yale aliyonayo nyumbani kwake.
 
SASA kwanini uchepuke kama unampenda bwana yako kwanini umeolewa naye si angeenda kwa huyoo aliyechepukaa ...
Aisees Mimi nimkute Mke wangu anachepuka namuacha siku hiyohiyoo
Mawazo yako na yang
Yanaendana kuhusu
Kumkuta wife akitembeza kitumbua
Nche kila mtu anashika zake 50
Hakuna mjadala

Ila nijuavyo kuchepuka
Kunasababishwa na tamaa tu
Na,wala co kingine

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
wakat mwingine wanachepuka ili kupata faraja nje... unakuta ndoa imejaa ugomvi kila siku... huna amani mtu mlevi kupindukia hajui thaman ya ndoa... kwann mtu asichepuke..!!!!!
 
wakat mwingine wanachepuka ili kupata faraja nje... unakuta ndoa imejaa ugomvi kila siku... huna amani mtu mlevi kupindukia hajui thaman ya ndoa... kwann mtu asichepuke..!!!!!
Shikamoo The End
 
wakat mwingine wanachepuka ili kupata faraja nje... unakuta ndoa imejaa ugomvi kila siku... huna amani mtu mlevi kupindukia hajui thaman ya ndoa... kwann mtu asichepuke..!!!!!

Kwiao unaona kama mtu atachepuka ndio solution ya tatizo la ndoa au kama mwanaume anakunywa mwambie mfanye kikao na bwana yako tuu myamalize vinginevyo hakutakuwa na maana ya ndoa
 
Boy unataka kujua mambo ya ndoa?!...wenzio wakat tuko umri kama wako tulikuwa tunajifunza kuhusu bancen burner
 
SASA kwanini uchepuke kama unampenda bwana yako kwanini umeolewa naye si angeenda kwa huyoo aliyechepukaa ...
Aisees Mimi nimkute Mke wangu anachepuka namuacha siku hiyohiyoo
Watu siku hizi hawaoani kwa kupenda but wanaona kwa nini unacho na nini utanipa. Na kama nikikikosa hata kwa madakika tu nitaenda kwa aliyenacho

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wanachepuka kwa sababu mboga moja inachosha hata hamu ya kula inaisha
 
SASA kwanini uchepuke kama unampenda bwana yako kwanini umeolewa naye si angeenda kwa huyoo aliyechepukaa ...
Aisees Mimi nimkute Mke wangu anachepuka namuacha siku hiyohiyoo
Tena simuachi kama nilivyomuoa....namuacha na kilema ili akamuelezee huyo hawara yake

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Boy unataka kujua mambo ya ndoa?!...wenzio wakat tuko umri kama wako tulikuwa tunajifunza kuhusu bancen burner
[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
wakat mwingine wanachepuka ili kupata faraja nje... unakuta ndoa imejaa ugomvi kila siku... huna amani mtu mlevi kupindukia hajui thaman ya ndoa... kwann mtu asichepuke..!!!!!
Kwa nini wewe usiwe chanzo cha amani ndani ya ndoa yako kwa kukaa na mwenza wako na kutafuta suluhu badala ya kuchepuka ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…