Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo.
* Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema.
* Mume humuwekea mkewe chakula mdomoni pale tu mke anapokuwa mgonjwa akawa hawezi kujilisha.
* Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro.
* Kitu pekee kinachomfanya mwanaume wa kiafrika kuigusa shingo ya mkewe ni pale mke huyo anapolalamika kuwa ana homa. Hatoigusa tena mpaka atakapopata homa nyingine.
* Muda pekee ambao atambeba mkewe mikononi mwake ni pale anapojifungua.
* Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.
* Wanawake wengi wanawanunuliza zawadi waume zao pale tu mume anapokuwa mgonjwa hospitalini.
* Muda pekee ambao wanakimbia pamoja ni pale inapotokea hatari na kila mtu akawa anakimbia.
* Muda pekee wanaokaa pamoja jioni ni pale wanapotaka kwenda kupeleka malalamiko kwa wazazi wa mtu aliyempiga mtoto wao au aliyempa mimba binti yao.
* Muda pekee wanaokoga pamoja ni pale wote wanapochelewa kwenda kazini.
*Muda pekee ambao mke huyatazama kwa ukaribu macho ya mumewe ni pale jicho la mume linapopatwa na uchafu.
Kwa bahati mbaya, Waafrika wana mawazo kuwa kila mwanaume romantic na mbembezi anakuwa ametawaliwa na mke. Hapo wataanza kueneza umbea.
Tubadilike.... Mabadiliko yanaanza na WEWE.

Nimekuwa shahidi wa hiliSisi uhusiano wetu ni wa ki ngono zaidi Na sio Mahaba <romance>
Wanaoneana aibu hakuna kingine.
Wanawake wa kiafrika hawapendi wanaogopa kuitwa wanafiki tu hamnaKwa sababu wengi kinachowafanya waoane siyo Mapenzi bali ni mambo mengine kabisa isitoshe falling in love siyo Utamaduni wa Kiafrika, kabla ya kuja Wazungu kulikuwa hakuna mambo ya kufall in love, bali ni kukutana nakuamua kukaa pmj na kuzaaa watoto basi lkn kulikuwa hakuna mapenzi kama tuyajuavyo leo hii!
Na ndiyo maana ndoa nyingi zetu ni kama Vita Kati ya Mume na Mke, ni mabifu, visasi na mashindano tu ya nani zaidi lkn hkn Mapenzi!
Ndoa nyingi ni kwa ajili tu ya kulala na kuamka, kulea watoto na kuzeeka pamoja mpaka kifo.
* Wanandoa wengi ni mara chache sana kupeana busu na kukumbatiana wanapopata habari njema.
* Mume humuwekea mkewe chakula mdomoni pale tu mke anapokuwa mgonjwa akawa hawezi kujilisha.
* Ukimuona mwanaume anamfungulia mlango mkewe basi ujue mlango huo ni mbovu au una kasoro.
* Kitu pekee kinachomfanya mwanaume wa kiafrika kuigusa shingo ya mkewe ni pale mke huyo anapolalamika kuwa ana homa. Hatoigusa tena mpaka atakapopata homa nyingine.
* Muda pekee ambao atambeba mkewe mikononi mwake ni pale anapojifungua.
* Ukiwaona wamekaa nje wakati wa usiku, usifikiri wanaenziana. Wanasubiri tu harufu ya dawa waliyopulizia ndani iishe.
* Wanawake wengi wanawanunuliza zawadi waume zao pale tu mume anapokuwa mgonjwa hospitalini.
* Muda pekee ambao wanakimbia pamoja ni pale inapotokea hatari na kila mtu akawa anakimbia.
* Muda pekee wanaokaa pamoja jioni ni pale wanapotaka kwenda kupeleka malalamiko kwa wazazi wa mtu aliyempiga mtoto wao au aliyempa mimba binti yao.
* Muda pekee wanaokoga pamoja ni pale wote wanapochelewa kwenda kazini.
*Muda pekee ambao mke huyatazama kwa ukaribu macho ya mumewe ni pale jicho la mume linapopatwa na uchafu.
Kwa bahati mbaya, Waafrika wana mawazo kuwa kila mwanaume romantic na mbembezi anakuwa ametawaliwa na mke. Hapo wataanza kueneza umbea.
Tubadilike.... Mabadiliko yanaanza na WEWE.
Siyo kuwa mapenzi hayakuwapo Kama Leo kumbuka Leo ni acting tu na si mapenziKwa sababu wengi kinachowafanya waoane siyo Mapenzi bali ni mambo mengine kabisa isitoshe falling in love siyo Utamaduni wa Kiafrika, kabla ya kuja Wazungu kulikuwa hakuna mambo ya kufall in love, bali ni kukutana nakuamua kukaa pmj na kuzaaa watoto basi lkn kulikuwa hakuna mapenzi kama tuyajuavyo leo hii!
Na ndiyo maana ndoa nyingi zetu ni kama Vita Kati ya Mume na Mke, ni mabifu, visasi na mashindano tu ya nani zaidi lkn hkn Mapenzi!
Sasa na hayo matako yako yanayotingishika hivyo si balaa hiyo ngono yenu?Sisi uhusiano wetu ni wa ki ngono zaidi Na sio Mahaba <romance>
Siyo kuwa mapenzi hayakuwapo Kama Leo kumbuka Leo ni acting tu na si mapenzi
Zaman hizi romance zilikuwepo ila faragha sana hakuna mtt wala mwingine ajuaye
Ni wawili tu Leo wanafanya hadhalani kwa kuiga wadhungu