Kwanini Wanajeshi huagwa kwa gwaride?

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
715
Umofia kwenu!

Nipo msibani kafariki mwanajeshi. Wanajeshi wanamuaga kwa gwaride na almost msiba wote wameuchukua wao. Ndugu wamepata nafasi ndogo sana.

Hii ni kwanini na historia ipoje wakuu? Watu wote huzuni ziliwatoka wakabaki wanashangaa gwaride.
 
Ndio mambo ya kijeshi, maliza msiba kwanza afu uache umbeaumbea usije kutuandika matusi bure.
 
Sio wanapokufa tu hata wanapozaliwa


nb:sitaki maswali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unataka kusema wale kona bar nao waagwe kwa namna ya kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…