Kwanini wanajeshi hawapendi kuajiri watumishi wa umma

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Nkama swali linavyojieleza.. Matangazo mengi husema walioajiriwa na utumishi wa umma hawapaswi kuapply... Sababu hasa ni nn
 
Jeshi ni Taasisi inayojitegemea na ina mfumo wake wa kujiendesha.Mtumishi wa Umma akiajiriwa Jeshini atajisahau na kuanza haki zisizokuwepo Jeshini.
 
KWASABABU NA WAO NI TAASISI YA UMMA,WEWE ULITAKA UTOKE UMMA UENDE UMMA,UHAMISHE TAARIFA ZA UMMA MMOJA KWENDA MWINGINE,,,,,,,,?Mkuu,utaweza
 
Back
Top Bottom