Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
kwa kweli hawa walinzi wetu hawakutakiwa kulipa kodi hata kwenye mishahara yao,kwani hawa jamaa ni wazalendo no 1.Wameamua kuweka uhai wao rehani kwa ajili ya maisha yetu na ustawi wa Tanzania!.
Mkuu hapo umenena kweli, maana utakuta mtu anakuunganishia posho zako zote kwenye mshahara matokeo yake unakatwa na kodi isiyohusika. Mfano wafanyakazi wa pale uwanja wa ndege wa kimataifa Dar wanaunganishiwa posho na mshahara kwa pamoja na kodi inakatwa kwa ujumla wake.
Hayo makosa yanafanyika idara nyingi tu za serikali. Baadhi ya idara allowance inawekwa pamoja na mshahara,kwa hiyo unajikuta inakatwa kodi. Idara zingine allowance inalipwa peke yake na mshahara. Ni mfumo mbovu wa mishahara nji hii.
Mambo Zenu Wanajf,
Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao?
Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?
mshahara wangu wa mwezi huu ni 1,067,800 /=gross nimekatwa kodi 170,000/= je ni sahihi?
So serikali inanipa pesa halafu inaninyang'anya. Unnecessary paperwork.Sheria ya kodi inasema 'pato lolote mtu analopata kutokana na kazi linatakiwa likatwe kodi' kwahiyo hata hizo taasisi za serikali zisizowakata wafanyakazi wao kodi ni kinyume na sheria.
Jamani, forgive my ignorance; hivi mishahara ya wafanyakazi si inatolewa na serikali? Na serikali hiyo hiyo si ndio inakata kodi? Kuna logic gani ya kunipa pesa na kuichukua. Ni sawa na kujipa mwennyewe. Si waseme tu mshahara wa mwakimu sh 400,000 badala ya 506400.
Wachukue kodi toka kwa wafanyakazi wa secta binafsi hapo ndipo watakapoingiza kitu.
Au?????
Mambo Zenu Wanajf,
Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao?
Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?
Lkn kumbuka hao uliowataja woote wanapatikana jeshini. Endapo hao wa uraiani watagoma basi Makamanda wanachukua nafasi hizo shuleni, hosputali n.k.Rushwa ndo maana yamekaa kimya hata kusahau wajibu wao. Katiba inanajisiwa yenyewe haaa bora kunakucha pambaf.
Kila mtu anamchango kwa taifa
-Mwalimu ndio nambari one, hakuna chochote bila mwalimu lakini kwasababu sio tishio kwa utawala wa ccm wanataabishwa kinoma.
-Dakitari ndio nambari two, hakuna chochote bila Afya kwetu sote. sio tishio kwa CCM basi wanapuuzwa tu.
-Wataalamu wengine kama wahandisi, wanasheria, maafisa ugani kilimo nk sio tishio wanapuuzwa.
Wanajeshi kwasababu nitishio kwa serikali ya ccm, dio sababu utasikia mkuu wa mkowa kapten mtaaafu John chiligati
Mstaaf, mstaaf....mstaaf Ger Shimbo nk nk hakuna lolote ni Rushwa. CCM na takrima/Rushwa nikama kichwa na shingo.
Lazima wote tukatwe kodi bana ala, kwan madakitari hawafi kwa kuambukizwa magonjwa kutoka wagonjwa wanaowatibu?
wanakufa so why only the relief for sodiers????????
Ndio maana wanaitwa wanajeshi Kazi wanayoifanya ni ngumu na ni ta Hatari kutolipa kodi ni sehemu ndogo sana ta fadhila wanayotakiwa kupewa kama walinzi wa nchi. Nawakubali sana askari wetu ingetakiwa hata mishahara yao iwe mikubwa sana, nakuja mtaongea mengi kwa sababu hujashuhudia vita tuliokuwepo kipindi cha vita ya uganda tunaelewa, achana kabisa n'a ishu Zaa hao walinzi watu.Mambo Zenu Wanajf,
Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao?
Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?
Utajua wakati wa vita ambapo wakati wa umelala na mkeo au Mume wanajeshi wanakua vitaniMambo Zenu Wanajf,
Hivi Kwanini wanajeshi hawalipi kodi katika mishahara yao?
Naona wanapewa upendeleo mkubwa hivi ni kwanini?