alunashadya
Member
- Aug 15, 2014
- 57
- 10
Ni walinzi wa nchi.
Una uhakika na unachoongea au stor za kwenye kahawa
Mambo Zenu Wanajf,hivi Kwanini Wanajeshi Hawalipi Kodi Katika Mishahara Yao? Naona Wanapewa Upendeleo Mkubwa Hivi Ni Kwanini?
Hivi ni Tanzania tu au kila mahala
Mambo Zenu Wanajf,hivi Kwanini Wanajeshi Hawalipi Kodi Katika Mishahara Yao? Naona Wanapewa Upendeleo Mkubwa Hivi Ni Kwanini?
Ni Tz pekee hakuna mahala pengine duniani pameripotiwa kutowakata kodi walinzi wa nchi.
Acha uongo,kama huna uhakika uliza,wanalipa kodi.
Haya nimeacha uongo na nauliza sasa kwamba wanajeshi wa Tz wanakatwa kodi ktk mishahara na pesa yao ya posho ya chakula?
wanakatwa kodi kwenye mishahara ila hawakatwi kwenye posho ya chakula.
Kiukweli Allowance haitakiwi kukatwa kodi na inabidi ilipwe separate na mshahara ila makampuni mengi yanaweka allowance pamoja na mshahara then wanakata kama PAYE ni dhuluma sana hii,wewe unanilipa House allowance ya 100,00/= then unailamba kodi na kunipa 68,000/= maana yake ni nini? Hili swala kina Mgaya na TUCTA yenu ni la kuliangalia kwa jicho la tatu!! Otheweise mwajiri kama anataka akulipe allowance ya laki moja basi aongeze iwe laki na 40 hiyo 40 iende kwenye kodi.

Wanatufanyia kazi kubwa kama vipi name wewe nenda jeshini