George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 338
Swali no 1.Unaelewa Nini Kuhusu akili bandia?au imeshushwa kutoka Mbinguni?1. We unaweza kutengeneza AI?
2. Ikitokea AI inaweza kufanya kazi wanazofanya watu, je watu hawatokosa ajira?
AI Ilianza mwaka 1956 na John McCarthy sio kitu Cha juzi lakini Ondoa hofu Mkuu.Maisha Lazima yaendelee.1. We unaweza kutengeneza AI?
2. Ikitokea AI inaweza kufanya kazi wanazofanya watu, je watu hawatokosa ajira?
Huko Japan na China AI inatumika kwenye restaurants kupokea order na kupelekea wateja vyakula.AI Ilianza mwaka 1956 na John McCarthy sio kitu Cha juzi lakini Ondoa hofu Mkuu.Maisha Lazima yaendelee.
Lakini Wachina na wingi wao hawana wasi wasi Kwa sababu AI Ina ukomo.Huko Japan na China AI inatumika kwenye restaurants kupokea order na kupelekea wateja vyakula.
Pia AI inatumika ma hospitalini kwenye kitengo cha physiotherapy.
Inasemekana karibu nusu ya ajira zote zitakuwa automated; na ndiko dunia inakoelekea. Waendesha mashine (marubani, manahodha, wafanyakazi wa viwandani, wahasibu, auditors, wanasheria, mafundi mitambo, waalimu, makarani, wauza maduka na wengineo wengi..) wote wakae mkao wa tahadhari sana!Wanadamu wanaweza kuwa na wasiwasi na hofu mbalimbali kuhusu akili ya bandia (AI) kwa sababu kadhaa:
- Hofu ya Kuhamishwa kwa Kazi: Moja ya hofu ya kawaida ni kwamba teknolojia za AI zitabadilisha kazi, na kusababisha ukosefu wa ajira kwa watu wengi...
Nadhani watu wanachukulia poa sana wakisikia AIInasemekana karibu nusu ya ajira zote zitakuwa automated; na ndiko dunia inakoelekea. Waendesha mashine (marubani, manahodha, wafanyakazi wa viwandani, wahasibu, auditors, wanasheria, mafundi mitambo, waalimu, makarani, wauza maduka na wengineo wengi..) wote wakae mkao wa tahadhari sana!
View attachment 2932932View attachment 2932934
Ahaa...nimepata mwanga kidogo, inaonekana Mimi IA naijua Kwa uchache Sana, ngoja nitafute infos zaidi.Password ya simu yangu wewe huwezi kuifungua na password ya simu yako mimi siwezi kuifunguwa. Kwa hiyo mfano Urusi anaweza tengeneza AI yenye akili sana ambayo itamsmbuwa Marekani.
Na ikitokea yule mtengenezaji wa hiyo AI kafa shida itakuepo.