Kwanini wana CHADEMA mnaumizwa na migogoro ndani ya CCM?!

Hata nyoka wakipigana haina maana mmoja hana sumu, wote wanasumu but utaengemea kwa yule mwenye sumu kidogo kwa masilahi/faida yako.

Inawezekana ulikuwa hujui kama Msiba aliyewashangaa Chadema kwanini wanatete upande wa 2!! CDM wanachochea tu kuni ili fukuto liendelee kama ulikuwa hujui.
Hahaha sawa endeleeni mtakuja kumbuka mmechelewa.
 
Siyo hivyo tu, tambua kwamba hawaumizwi, ila wanakuwa wanashangilia Kimoyo moyo na kutoa ushauri wa Unafiki kama ambavyo sisi CCM uumizwa kwa unafiki matatizo yao, kama Vile Muda wa Mwenyekiti madarakani, Kubenea kupanga Kumuua Bony
 
Mgewaacha ccm wauane, badala yake mnekuwa sympathizers, na kuwatafutia solution ya migogoro yao.
Nilidhani mnataka kuiondoa ccm, lakini mmnanishangaza sana.
Andikeni kuipromote chadema, siyo kila siku kutetea makundi ya ccm, muiache ccm ife.
Sidhani. Kwa maoni yangu CCM haifi kamwe. Yanaweza kuwamo makundi na maelekeo tofauti lakini kuparanganyika chama siyo rahisi. Maraisi wote wastaafu watatu na waziri wakuu wastaafu wote ukimuondoa mmoja pamoja na miaka yote 45 ya siasa kuashiria ukongwe siyo haba. Labda washindwe kushauriana wenyewe.
 
Hahaha nyie ccm mnajulikana kwa inafiki, huwa sishangazwi nanyi. Ila nimeshangazwa na chadema kutolewa relini na akina kibana na Nape.
Wakati waliwahi kumtetea Nape dhidi ya makonda, huyo Nape akawakana. Kwanini hawakujifunza pale.
 
Hahaha itakufa tu sema muda bado haujafika.
 
Inanishangaza CCM wanachafuana na kutifuana, lakini wafuasi wa CHADEMA wanaonekana kutetea makundi ndani ya CCM.

Kwanini CHADEMA mnaonekana mnaumizwa na madhila ya adui wenu. Unaenda mwezi sasa hakuna uzi wa CHADEMA, bali CHADEMA wameingia CCM ndani na kupigania CCM.

Huko nyuma ilikuwa chadema kuishambulia CCM, na CCM kuishambulia chadema, lakini sasa imekuwa tofauti.

Wao CCM wanachukua viongozi wa CHADEMA, sioni CHADEMA wakifanya hivyo, hivi ni kweli chadema mmekosa mkakati wa kuisambaratisha CCM?! Au kuingia CCM na kupigana ndani ndio mkakati, sasa kwanini mtetee makundi yao ccm badala ya kuyafurahia?

Nawasihi CHADEMA achaneni na CCM, rudini chadema mshambulie mkiwa CHADEMA, kuungia CCM mtazama nao, watawashangaza wakianza kuwakana, wote mtawaona wamevaa kijani watasema wanamuunga mkono Magufuli, itawanyong'onyeza sana.
Usiwapangie watanzania nini cha kujadili na kwa wakati gani!
 
Siwapangii, ila nawakumbusha watanzania. Kuishabikia ccm ni uendawazimu, wakikutana watawakataa wote na yote mliyowalisha. Nape kasha kana, na aliisha fanya hivyo huko nyuma alipotenguliwa uwaziri, na mgogoro wake na makonda. Alitoka hadharani akawaambia yeye ni ccm na atabaki kuwa ccm na chadema wasimlazimishe kufanya asichokitaka.
Nilicjhotaka kuwakumbusha watanzania, ukimkuta ccm anaumwa, usimuulize anaumwa nini na usimpe dawa hata panadol, akifa sawa njoo tuambie maana tumepunguza tatizo.
 
Wana JF mna maneno lakini...😂😂
Hahaha niliogopa nisije kuwa nimeandika nisichokiona, hivyo nika jitolea kumpa password yangu aondoe hilo linaloonekana huko, ambalo mimi silioni kwenye andiko langu.
 
Inanishangaza CCM wanachafuana na kutifuana, lakini wafuasi wa CHADEMA wanaonekana kutetea makundi ndani ya CCM.

Kwanini CHADEMA mnaonekana mnaumizwa na madhila ya adui wenu. Unaenda mwezi sasa hakuna uzi wa CHADEMA, bali CHADEMA wameingia CCM ndani na kupigania CCM.

Huko nyuma ilikuwa chadema kuishambulia CCM, na CCM kuishambulia chadema, lakini sasa imekuwa tofauti.

Wao CCM wanachukua viongozi wa CHADEMA, sioni CHADEMA wakifanya hivyo, hivi ni kweli chadema mmekosa mkakati wa kuisambaratisha CCM?! Au kuingia CCM na kupigana ndani ndio mkakati, sasa kwanini mtetee makundi yao ccm badala ya kuyafurahia?

Nawasihi CHADEMA achaneni na CCM, rudini chadema mshambulie mkiwa CHADEMA, kuungia CCM mtazama nao, watawashangaza wakianza kuwakana, wote mtawaona wamevaa kijani watasema wanamuunga mkono Magufuli, itawanyong'onyeza sana.
Hakuna mwana Chadema yuko upande kwenye kundi lolote kwani wote ni maadui zetu na mikono yao imejaa damu za wapinzani. Sisi tunachochea ikibidi wauane kabisa na hilo genge lifutike kabisa kwenye uso wa dunia. Musiba chochea moto huo.
 
Mgewaacha ccm wauane, badala yake mnekuwa sympathizers, na kuwatafutia solution ya migogoro yao.
Nilidhani mnataka kuiondoa ccm, lakini mmnanishangaza sana.
Andikeni kuipromote chadema, siyo kila siku kutetea makundi ya ccm, muiache ccm ife.
Tatizo hujaelewa mchezo mzima.
 
Lakini wapo wasioelewa nini kinafanyika, sasa wamegeuka kutetea kambi zilizoko huko, hapo ndio nikaanza kuogopa, kwamba inakuwaje umtetee hakimu aliyekuhukumu kunyongwa halafu umchukie mnyongaji.
Hao wote ccm waachwe wauane, akifa mmoja sherehekeeni lakini msisikitishwe na vifo vyao.
Wewe ndiye huelewi
 
Hahaha nyie ccm mnajulikana kwa inafiki, huwa sishangazwi nanyi. Ila nimeshangazwa na chadema kutolewa relini na akina kibana na Nape.
Wakati waliwahi kumtetea Nape dhidi ya makonda, huyo Nape akawakana. Kwanini hawakujifunza pale.
Unakurupuka
 
Back
Top Bottom