Umeongea vice versa.(b) is the correct answer.
Wanaogopa uadilifu wake utawaumbua....
Ccm wako makini hawawezi kukubali nchi iharibiwe na wachache afu ionekane chama ndo kimevurunda. Kila mtu atabeba mzigowake mwenyewe
Lazima utakuwa na ugonjwa mkali sana wa akili.(b) is the correct answer.
Wanaogopa uadilifu wake utawaumbua....
Kwa lipi wewe unalolijua kuhusu rushwaLowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana.
Huwezi kumtenganisha fisadi lowasa na rushwa.
Tupe facts kuhusu rushwa yakeWanaccm hawataki mafisadi yeye ni fisadi kwahiyo hafai kabisa kuwa miongoni mwa wanaccm wasafi na wachukia Rushwa.
Kwa maana ipi mkuu maana ujaonyesha njialohasa akiteuliwa na ccm. ujue tanzania ufisadi utakuwa umeshinda rasmi.....
Kwa hiyo siyo Ufisadi??Kwa sababu wamezoea kufanya kazi kwa mazoea hawataki kiongozi mfuatiliaji wa mambo kifupi wanapenda business as usual.....
Kwa lipi wewe unalolijua kuhusu rushwa
Tupe facts kuhusu rushwa yake
Kwa maana ipi mkuu maana ujaonyesha njia
Kwa hiyo siyo Ufisadi??