Kwanini wamasai hawana sauti nzito?

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Natumaini ni wazima
Samahani jamani kuuliza siyo ujinga nimetembea maeneo ya hawa rafiki zetu na kuishi huko lakini kinachonishangaza ni kwanini hawa jamaa hasa wanaume hawaongeagi kwa besi?
Hivi sababu ni Nini inayowapelekea hawaongei kwa besi?
Naombeni kujuwa !

Nategemea tapata majibu mazuri
 
"Kwanini wamasai hawazungumzi Bass" hii ni conclusion iliyokosa weledi. Dar ninaishi na mmasai anaongea Base. Badilisha swali kwanini baadhi ya wamaasai hawazungumzi kwa Bass.
 
Besi unamaanisha nini? Sauti kuwa nzito?

Ni ukweli kuwa, lugha ya pili au ambayo hajaizoea sana ni ngumu kuizungumza sana kwa sauti ile ile ukilinganisha na sauti atakayotumia kuzungumza lugha ya kwanza.....

Ila hujakutana tu na Wenye base, mfano mimi unikute utajua namaanisha nini. Base nzito sana.

Usihusishe wamasai wote, ni baadhi tu.
 
"Kwanini wamasai hawazungumzi Base" hii ni conclusion iliyokosa weledi. Dar ninaishi na mmasai anaongea Base. Badilisha swali kwanini baadhi ya wamaasai hawazungumzi kwa Base.
Sio base, ni bass, na vile vile msamiati huu haufai kuapply kwenye hii concept
 
wafugaji hawa huwa makini na ngombe sana hasa wakihofia wezi wa mifugo (kama walivyo wengi wao) na simba. hutembea vichwa juu kiasi na kuathiri ukuaji wa vikoo vya sauti (pharynx na larynx) na kufanya sauti kuwa nyembamba hasa kwa wanaume. mtu yeyote anayetembea macho yakiwa juu huwa na sauti ndogo (but not necessarily the case)
 
Back
Top Bottom