Nadhani sina la kukupinga kwa unayo yasema. Nimaanishacho ni kuwa :- waache unafiki.Hivyo vifo vinavyolalamikiwa ni vile vinavyotekelezwa na law enforcers kwa watu weusi. Hayo ya wao kutinduana visu mitaani huwezi kufananisha. Wana visa na visasi vyao huko mtaani na huwezi kuzuia. Law enforcer anatakiwa kulinda usalama wa kila mtu. Unaweza kueleza kwa wazi sababu ya kumwua kwa risasi mtu ambaye askari wawaili wamemdhibiti tena wamemlaza chini? Alikuwa tishio kiasi gani kwao? Heri wa huku wanatuambia majambazi yalikuwa yanajaribu kutoroka huku yakirusha risasi hata kama yanakuwa yamefungwa pingu.
Yaani ume tu-describe sie wabongo vizuri sana. Just know, sio wamarekani weusi tuu, hiyo statement yako ina apply kwa watu weusi wote. Haijalishi tupo wapi, peace.Watu weusi wana matatizo sana, hawana umoja, wanaoneana wivu, wanatumia mali zao rafu...shida tupu
Sio lazima uwe mzungu kuona wanachofanyiana wao kwa wao watu weusiWewe mtoa mada ni Mzunguko(ko)!?
Umesahau kwamba hao polisi kazi yao si kuua mtu, wanatakiwa kuwa-protect, haijalishi kama wee ni mweusi au mweupe. Kama polisi anashindwa kuku protect what should you do? unachukua matters in your own hands.Wa salaam wanajamvi.
Swali langu ni hili: Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapo kojolewa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe hunyeana?
Hivi punde kumetokea mauaji ya kijana mweusi huko marekani yaliyofanywa na afisa wa polisi (ambaye ni mzungu) . Na kila mtu analijua hilo. Ila cha kushangaza zaidi ni pale tunaona watu wengi weusi kutoka pande mbalimbali za ulimwengu wakilaani tukio hilo.
Mbona haya manung'uniko hayashiki hatamu pale wamarekani weusi wanapo uana wao kwa wao.?
Hivi mnajua kuwa vifo vinavyotokana na mauaji ya watu weusi(wenyewe kwa wenyewe kuchomana "Visu" & "Risasi") ni vingi kuliko vile vinavyotokana na mauaji na watu weupe(wazungu kuua watu weusiy)?
Kwa nini kifo kinacho sababishwa na mzungu kionekane kina mzizi wa "Ubaguzi wa Rangi".?
Ninawaomba wamarekani" weusi" wapunguze kuendekenda ubaguzi wa rangi. Waamini kuwa kufa kwa mmarekani mweusi hakusababishwi na ubaguzi wa watu "weupe" bali ni mitazamo yao isiyo sahihi, pia wazingatie maisha ya watu weusi yaliyoangamia kutokana na watu weusi.
Kama kweli wanamaanisha wanaposema #BlackLivesMatter, basi waniksikie nisemavyo, huenda wakanielewa kabla hakuja kuchwa.
YMCMB Headquarters.
Ni sawa kulalamika na kupaza sauti pale walipo ona mweusi mwenzao amefanyiwa yasiyo haki, ila naona kama hao hao wamarekani weusi wanatumia nguvu kubwa kupaza sauti kwenye mauaji yanayo husisha "interracial" zaidi kuliko yale mauaji ambayo wanafanyiana wao kwa wao (ambayo ni mengi zaidi).Umesahau kwamba hao polisi kazi yao si kuua mtu, wanatakiwa kuwa-protect, haijalishi kama wee ni mweusi au mweupe. Kama polisi anashindwa kuku protect what should you do? unachukua matters in your own hands.
Mawani yako yanaona unyama wanao "fanyiwa" wamarekani weusi, ila yanashindwa kuona unyama wanao "fanyiana" wamarekani weusi.Hauna adabu wala heshima kwa mtu mweusi. Umemsikiliza Pres Obama alichoongea? Usiwe jinga kutetea mauaji ya kinyama kabisa wanayofanyiwa watu weusi. Acha kuropoka dada.....huelewi uchungu watu wanaopitia.
Waambie manake ni kazi kuelezea jambo la waziHivyo vifo vinavyolalamikiwa ni vile vinavyotekelezwa na law enforcers kwa watu weusi. Hayo ya wao kutinduana visu mitaani huwezi kufananisha. Wana visa na visasi vyao huko mtaani na huwezi kuzuia. Law enforcer anatakiwa kulinda usalama wa kila mtu. Unaweza kueleza kwa wazi sababu ya kumwua kwa risasi mtu ambaye askari wawaili wamemdhibiti tena wamemlaza chini? Alikuwa tishio kiasi gani kwao? Heri wa huku wanatuambia majambazi yalikuwa yanajaribu kutoroka huku yakirusha risasi hata kama yanakuwa yamefungwa pingu.
Mawani yako yanaona unyama wanao "fanyiwa" wamarekani weusi, ila yanashindwa kuona unyama wanao "fanyiana" wamarekani weusi.
Mkuu usipandishe jazba! Usije kushindwa kucheka na watoto wako.Usiwe jinga.....nani kakwambi weusi kwa weusi wakiuana watu hawaongei? Logic yako mbona inatia shaka.....unawaza nini? Kazi ya police ni kulinda raia si kuuwa. Uliangalia video ya wauaji ya jana? Uliwaza nini police anamuua yule mwanamume mbele ya binti yake mdogo tena bila sababu?