kuna dharau fulani inaambatana na hiyo.......ngoja nikupe mfano
uko mahali unatoa huduma fulani sema Dar
kuna profesa muhaya zaidi ya english kiswahili kigumu sana, mfanyabiashara msukuma anayejulikana au milionea, mfanyabiashara wa madini masai toka mererani na machinga anayeuza bidhaa bila hata frame. Unafikiri ni nani kati ya hawa atahudumiwa, ni kujikomboa ndio kutakupa heshima ktk jamii. Wanaamka kweli soon watakuwa watu na wao.
Nchi yetu ina makabila mengi sana na kwa uwingi huo unafanya nchi yetu kuvutia.Na inavutia zaidi hasa pale utakapowakuta watu kutoka maeneo mbalimbali wakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao.
Lakini kabila la wamakonde wamekuwa wakidharauliwa kila wafikapo maeneo mengine.
Sijajua kwa lipi hasa lafudhi,makosa yao ya kisarufi,hulka zao au nini.Kama lafudhi binafs ya kiluguru,kinyakyusa hata kikurya zinachekesha zipo nyingne.Kama makosa yao ya kisarufi wapemba nao hawana m mimi binafsi kabila langu halina l pia wachaga hawana z,kama ni hulka zinafanana na upwani za umwinyi makabila meng kama wazaramo wanazo hizo.
Kwa sasa mkoa wao unaendelea kwa kasi asilimia 90 ya vitu vnavyohtajika vipo vyuo vya juu,vya kati,mahotel,mkoa wao upo vizur kimpangilio,fukwe ya kuvutia na hata barabara ya kwenda dar haiwetenganish mbal na dar masaa kama 6 au 7 tena kuna root za saa 2,4 na kuendelea.Wazawa wanasoma kwa uchungu.Kwa kweli nilipoenda kwa kazi zangu binafsi nimeshangazwa juu ya stori za uongo juu ya kabila na mkoa wao.
kwa nini kule arusha kunakosemekana ni nchi ya kenya hamna shda kama hii.je kule bukoba si historia zinagongana kuwa ni sehemu ya uganda hata makabila mengne wanafanana nayo kule uganda.boda la malawi na tanzania hakuna kabila zinazoendana tanzania na malawi.
Nchi yetu ina makabila mengi sana na kwa uwingi huo unafanya nchi yetu kuvutia.Na inavutia zaidi hasa pale utakapowakuta watu kutoka maeneo mbalimbali wakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao.
Lakini kabila la wamakonde wamekuwa wakidharauliwa kila wafikapo maeneo mengine.
Sijajua kwa lipi hasa lafudhi,makosa yao ya kisarufi,hulka zao au nini.Kama lafudhi binafs ya kiluguru,kinyakyusa hata kikurya zinachekesha zipo nyingne.Kama makosa yao ya kisarufi wapemba nao hawana m mimi binafsi kabila langu halina l pia wachaga hawana z,kama ni hulka zinafanana na upwani za umwinyi makabila meng kama wazaramo wanazo hizo.
Kwa sasa mkoa wao unaendelea kwa kasi asilimia 90 ya vitu vnavyohtajika vipo vyuo vya juu,vya kati,mahotel,mkoa wao upo vizur kimpangilio,fukwe ya kuvutia na hata barabara ya kwenda dar haiwetenganish mbal na dar masaa kama 6 au 7 tena kuna root za saa 2,4 na kuendelea.Wazawa wanasoma kwa uchungu.Kwa kweli nilipoenda kwa kazi zangu binafsi nimeshangazwa juu ya stori za uongo juu ya kabila na mkoa wao.
watoto hupenda sana kuweka 'cha' kwenye 'sa'.., imagine mtu anasema "chamaki" instead of "samaki", au anasema "nchale" instead of "mshale".., yaani unaanza kuhisi kama unaongea na mtoto mdogo anaeanza kujifunza kuongea.., kwa hiyo wanakuwa kama vikatuni fulani hivi.., tatizo ni lafudhi yao imefanana na ya watoto wadogo wasiojua kuongea bado.
vipi lile kabila la kukandamiza kutoka kanda ya ziwa, maana sijaona watu washamba kama wale

teeh we watakuja wenyewe but m siwadharau tena
Zenji wanadharauliwa Wamakunduuchi, kwani maustaadh wao wanaranda na ngazi usiku kucha kupiga chabo. kama ni mwalimu skuli au madrassa basi watoto wote wa kiume si riski tenaSisi huku tuwadharau wamasai kwa kuwaita Wachambia Rungu
watoto hupenda sana kuweka 'cha' kwenye 'sa'.., imagine mtu anasema "chamaki" instead of "samaki", au anasema "nchale" instead of "mshale".., yaani unaanza kuhisi kama unaongea na mtoto mdogo anaeanza kujifunza kuongea.., kwa hiyo wanakuwa kama vikatuni fulani hivi.., tatizo ni lafudhi yao imefanana na ya watoto wadogo wasiojua kuongea bado.
Zenji wanadharauliwa Wamakunduuchi, kwani maustaadh wao wanaranda na ngazi usiku kucha kupiga chabo. kama ni mwalimu skuli au madrassa basi watoto wote wa kiume si riski tena
Hakuna anayedharauliwa isipokuwa ni kabila lenye marafiki wengi. Popote pale apitapo Mmakonde atataniwa sijui Chinga au Chamaki Nchanga, ni utani wa kawaida kabisa coz upo katika makabila yote Tanzania.
Kama ni kudharauliwa tuwataje Wachaga wa Uru (Kishumundu), wapo kwenye mkoa wenye maendeleo sana lakini wanantaniwa kuwa wanaogopa sanamu ya YMCA na ndio Wachaga walio chini kimaendeleo. Lakini kwa sababu ni utani tuu inakuwa poa kwani inakuongezea marafiki na heshima kwenye jamii kama na wewe utajua namna ya kujichanganya na utani huo
Kinachowasumbua ni inferiority tu, mtu akikutania unaona kakudharau! Mie nakataa unless umeleta ushahidi wa mmakonde kudharauliwa mahali ikiwa si lengo la utani.
Mama joe, wafanyabiashara bila fremu sio wote ni wamachinga na usiniambie kwamba hakuna wamakonde maprofesa au wauza madini.