Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,821
- 4,821
Unamaanisha ni utumwa fulani wa kifikra? Kwamba ukifika level ya PhD unaondoka? Au unaufananisha na maprofesa wengi wa kike wanaonyoa afro huku mawigi wakiwaachia wale wa level ya chini?Inafikirisha sana....
Thomas Kamugisa angekuwa na doctorate degree...sidhani kama angependa aitwe Dr Tom...(nimewaza tu)
Kuitwa teacher Thomas au teacher Fred pia sio Kiingereza sahihi.1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.
Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.
Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?
Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!
Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?
Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Nitarudi.....Unamaanisha ni utumwa fulani wa kifikra? Kwamba ukifika level ya PhD unaondoka? Au unaufananisha na maprofesa wengi wa kike wanaonyoa afro huku mawigi wakiwaachia wale wa level ya chini?
Yoteyote wapo ma PhD holder wanaopenda kutumia majina ya kwanza ingawa siyo wengi.
Maprofesa wanawake wanaovaa mawigi ( nywele za bandia).
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu kuna majina mengi ya ukoo ni magumu kutamka unaweza kujikuta unakosea kutamka vizuri.. vilevile naona ipo shida kwa mana unaweza kuta jina lako la ukoo kwa kabila lingine ni tusi. Sasa huenda walimu wanatumia majina yao ya mwanzo kuleta urahisi kwa watoto kutamka.Mleta mada ana point, kimaadili si heshima mtoto kumtaja mtu mzima/mzazi kwa jina la kwanza. Na hata watu wazima wakiwa mbele ya hadhira huitana kwa jina la ukoo.
Unapomtaja mtu mzima mbele za watu unapaswa umtaje kwa jina la ukoo. Wasio tambua hili wengi wao ni hiki kizazi cha leo kisicho na maadili.
Kuna baadhi ya watu hawajui hata jina la ukoo, hudhani jina la ukoo ni lile la babu. Mfano ni baadhi ya wachangiaji wa hii mada hapo juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.
Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.
Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?
Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!
Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?
Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Nina Mwalimu wangu wa O-level alikuwa anaitwa JOSHUA JOHN hapo vipi tunge muitaje?1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.
Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.
Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.
Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?
Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!
Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?
Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Sound well and has been our culture!U don't seem to understand madam. What am trying to say here is that teachers should be addressed by their surnames and not their first names. Hayo ndo maadili yetu watanzania.
Mwalimu shuleni anasimama badala ya mzazi. U don't address Ur parent by his/ her first name.
In addition to that a school is a formal institution. Every thing should be conducted formally. Addressing teachers by their first names sound so informal.
Ni sawa na Makonda kum address Pres Magufuli as President John.