Chukua fomu chama kingine jaza, peleka kwa afisa utumishi....utahama.Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka , kwann wengi tunalazimishwa kuingia CWT inafika wakati mwalimu hunasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana, wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie hiki chama kina msaada gan kwa walimu hasa?
KabisaChukua fomu chama kingine jaza, peleka kwa afisa utumishe....utahama.
Sio wanaona ni makubwa, kiukweli ni makubwa mnooo sasa 2% ya kazi gani???Walimu wengi wanaiona CWT ni chama kihuni na kipigaji hawakitaki ila wanang'ang'anizwa wabaki mle. Yale makato ya asilimia mbili wanaona ni makubwa mno
Mfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubaliHalmashauri Nyingi Inaptikana Wapi Hiyo....??
Kuhama ni baada ya miez sita,Kabisa
Saini piga uturn chukua kwingine jaza kimbiza kwa hrMfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubali
Nawe Tumia Nguvu Kubwa Ya Ushawishi Huku Ukipangua Vitisho Kwa Weredi Ili Uwe Unapopahitaji...Mfano Musoma, Hanang, yaan wanatumia nguvu kubwa kushawishi na vitisho juu ili tu ukubali kusaini na kwa kua ss ni wageni lazima upate hofu ukubali
SawaNawe Tumia Nguvu Kubwa Ya Ushawishi Huku Ukipangua Vitisho Kwa Weredi Ili Uwe Unapopahitaji...
Warmly Welcome Madam Ticha....Sawa
Ccm ni chama cha kihalifu tayari ...hivyo tunaongozwa na wahalifu...Halmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge
Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?
Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?
Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.
Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.
Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
MITANO TENAHalmashauri nyingi wanalazimisha walimu wengi kuingia CWT wakati kuna vyama vingine ambavyo vimesajiliwa kisheria ila hawataki walimu tujiunge
Hivi ni haki walimu tusiwe huru kuchagua vyama tunavyotaka?
Kwanini wengi tunalazimishwa kuingia CWT?
Inafika wakati mwalimu unasaini mkataba ila wameshaanza kukata michango yao, hili swala linakera sana.
Wenye uzoefu wa hiki chama watusaidie.
Hiki chama kina msaada gani kwa walimu hasa?
Hatujalazimishwa sio walimu wote tunasimamia uchaguz ni wachache sana wale wanaohotaji wanaombaVipi hamjalazimishwa kuomba kusimamia uchaguzi ili mkiwezeshe chama kuiba kuiba kura.
Ninyi na police ni kundi moja mnatumika sana kwa wanasiasa
SHeria ya wapi iyo mwezi mmoja tuKuhama ni baada ya miez sita,