kaka mambo ya pwani hayooo!!!!!! Kila kitu wafanyiwa na mumeo, kwa nini usinenepa babu....hiyo kazi yaheshimika sana maeneo ya pwani tanga, zanzibar, pemba, pwani (coast region maeneo ya rufiji na mkunguranga), lindi na mtwara)........ Yaani hayo maeneo babu usifike na kukashifu taarabu, utahamu mji mwenyewe... Maana wanapenda taarabu hao..
Acha wanenepe, maana kwa maeneo hayo wao ni masuperstar!!!!!! Kuna wakati nilibahatika kuishi nachingwea miaka ya nyuma kidogo. Hadija kopa alikuja kutumbuiza....ukumbi haukutosha, ikabidi siku ya pili atumbuize tena. Na kuna wakati alikuja mr. Nice kipindi hicho anavuma sana...ukumbi hata nusu haukufika.... Hii inaonyesha kuwa watu wa pwani ni taarabu babuuu!!!!