Kwanini waimbaji wa taarab wanafura haraka?

unaona wadada wanaanza wakiwa wakuvutia miili mizuri lakini wakianza kupata umaarufu wanaanza kufura na wala hawajali miili yao.

Au nikule kuimba huku wamekaa?
Kwanini hawafanyi mazoezi?

kaka mambo ya pwani hayooo!!!!!! Kila kitu wafanyiwa na mumeo, kwa nini usinenepa babu....hiyo kazi yaheshimika sana maeneo ya pwani tanga, zanzibar, pemba, pwani (coast region maeneo ya rufiji na mkunguranga), lindi na mtwara)........ Yaani hayo maeneo babu usifike na kukashifu taarabu, utahamu mji mwenyewe... Maana wanapenda taarabu hao..

Acha wanenepe, maana kwa maeneo hayo wao ni masuperstar!!!!!! Kuna wakati nilibahatika kuishi nachingwea miaka ya nyuma kidogo. Hadija kopa alikuja kutumbuiza....ukumbi haukutosha, ikabidi siku ya pili atumbuize tena. Na kuna wakati alikuja mr. Nice kipindi hicho anavuma sana...ukumbi hata nusu haukufika.... Hii inaonyesha kuwa watu wa pwani ni taarabu babuuu!!!!
 
Mbona unapindisha thread!?

Kwani huyu hapa alikua sio superstar na alikua hana mtu wakumletea nyumbani?

Iweje huyu alikua anajijali mwili wake na wakina Khadija Yusuph, Sabah Muchacho, Khadija Kopa na wengine wazidi kufura kila siku?

img288.jpg
 
I hate Taarab!!!
Nikiiona kwenye TV lazima nibadilishe Chanel.

aisee wamekukera nini? taarab sio mbaya ila watu ndo wabaya. ukisikiliza maneno kwakina katika wimbo wa taarabu hasa zile za zamani ziafundisha 100%
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom