mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,323
- 1,105
Na kwanini huwezi kukuta askari jeshi au polisi ni Mtanzania mwenye asili ya kihindi?
na mie nko mjini.!! ukute ntabadilika niwe muhind...
na ulivo white ndo kabisa naona kama unaelekea kuwa mhindi. teh teh!
hujauliza, tena kwa nini wanapenda kuishi magorifani?
waishi vijijini kawni wao ni walimu??
waishi vijijini kawni wao ni walimu??