Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.

Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT wazalendo ya Zanzibar?

Mbona CHADEMA imeteua wabunge wa viti maalumu lakini ACT wazalendo hawajalalamika?

Maendeleo hayana vyama.

cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip
Sasa wewe una akili kweli?
 
Chadema wanajiona kama wao ni big brother wa vyama vya upinzani, kwa hiyo walidhani wanaweza kuiambia ACT nini cha kufanya. Act wameamua kufanya mambo kivyao, ndo maana misukule ya kamanda msaliti/mtundulisu inaona wivu.
Wale watu mliwaua Zenji wanafufuka kutokana na haya makubaliano!?
 
Hao ACT walikuwa wanabembeleza uongozi Chadema uwasamehe Covid-19 ili wajifiche kwenye hicho kichaka kwa maamuzi yao ya jana, siasa za kuvizia; sasa yale maamuzi magumu ya Chadema yamewafanya wajilipue, vyama laini vinatakiwa kufa kibaki kimoja chenye nguvu Tanzania.
Chadema hii ambayo Lisu alikuwa anamuomba raisi Magufuli maridhiano au unazungumzia ile ya kipindi kile cha dr Slaa?
 
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT-Wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.

Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT-Wazalendo ya Zanzibar?

Mbona CHADEMA imeteua Wabunge wa Viti Maalum lakini ACT-Wazalendo hawajalalamika?

Maendeleo hayana vyama.

cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip
Na kwanini wewe MATAGA mzoefu leo uwe msemaji wa ACT-Wazalendo?
 
Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.

Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT wazalendo ya Zanzibar?

Mbona CHADEMA imeteua wabunge wa viti maalumu lakini ACT wazalendo hawajalalamika?

Maendeleo hayana vyama.

cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip

Utakuwa na makengeza bwashee. Uliyaona haya?

IMG_20201207_132055_767.jpg
IMG_20201207_132118_432.jpg
 
Back
Top Bottom