Sasa wewe una akili kweli?Kiukweli ukipita humu mitandaoni utaona namna wafuasi wa CHADEMA walivyoumia kwa sababu tu ACT wazalendo wamejiunga na SUK huko Zanzibar.
Binafsi najiuliza kwanini waumie wafuasi wa CHADEMA badala ya wale wa CUF ambao ndio wameizaa ACT wazalendo ya Zanzibar?
Mbona CHADEMA imeteua wabunge wa viti maalumu lakini ACT wazalendo hawajalalamika?
Maendeleo hayana vyama.
cc: Mmawia, Erythrocyte na Salary Slip