Kwanini wafanyakzi wa KFC wanavaa safety boots?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Kuna kitu sielewi kuhusu wahudumu nadhani na wafanyakzi wengine wa KFC, naona wanavaa viatu vya migodini na sehemu nyingine za hatari, najiuliza je hizi food chains ni hatari kiasi hicho, kama ni hatari mbona hawawapi kofia na gagozi?
T
unaombeni wataalam mtuelimishe na sisi tuwanunulie dada zetu wanaotupikia nyumbani vifaa hivi kwa usalama zaidi?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom