zimmerman JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,701 Reaction score 3,246 Aug 15, 2017 #21 Tofautisha usafi na kuwa fashionable. Ila nakubaliana na wewe kuhusu dhana ya kujiweka nadhifu na kuvutia mademu.
Tofautisha usafi na kuwa fashionable. Ila nakubaliana na wewe kuhusu dhana ya kujiweka nadhifu na kuvutia mademu.
L Lihove2017 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 423 Reaction score 560 Aug 15, 2017 #22 So unatakiwa uvae vizuri ili ipendwe na demu ndiyo unachotaka kutuambia.mimo kwa kuwa nawachukia mademu itabidi nianze kuvaa rafu wanichukie zaidi. Otherwise work hard.Weka savings fanya uwekezaji zalisha pesa zaidi utawakimbia mwenyewe.
So unatakiwa uvae vizuri ili ipendwe na demu ndiyo unachotaka kutuambia.mimo kwa kuwa nawachukia mademu itabidi nianze kuvaa rafu wanichukie zaidi. Otherwise work hard.Weka savings fanya uwekezaji zalisha pesa zaidi utawakimbia mwenyewe.
zombi JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,620 Reaction score 1,344 Aug 15, 2017 #23 Aisee A1billboard nyingine Sent using Jamii Forums mobile app
zombi JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,620 Reaction score 1,344 Aug 15, 2017 #24 Sky Eclat said: Kwani wewe unapenda wadada wachafu? Click to expand... Kuna wengine wako smart ila sio wasafi. Yaani sio wasafi intimacy.na hili ndio tatizo la wengi unaowaona mjini wake kwa waume.wenye 4G kichwani wameelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat said: Kwani wewe unapenda wadada wachafu? Click to expand... Kuna wengine wako smart ila sio wasafi. Yaani sio wasafi intimacy.na hili ndio tatizo la wengi unaowaona mjini wake kwa waume.wenye 4G kichwani wameelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Nyaru-sare JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 5,261 Reaction score 3,737 Aug 10, 2020 #25 kwa nini wasabato wa mjini? na siyo romani wa mjini