Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Mkuu ni kweli kabisa, na huwa wanavipenda sana vitoto vyeupe vya majirani zao. Utaona wanavibebabeba sana na kuvikiss
nashukuru kwa kukubaliana na mm..
 
WAJITAHIDI SANA KULA CHOKAA INASAIDIA SANA HAJA YA MOYO WAO
 
rangi ya kati nzuri sana sio mama mweusiii km pinda alafu mtoto mweupeee km mama mhagama au EDO yaani ukimshika hadi watu wanahisi umeiba mtoto bhana.
 
Mkuu Mr. Mtui wewe hujivunii kuwa na mtoto mweupe ilhali mkeo ni mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…