Kwanini wadada wanakimbilia makanisani.

Nsema

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
275
Reaction score
482
Habari wana JF nimekuwa nikifatilia sana wanawake wengi waliokuwa wanajiona wazuri na wanaringa wanakimbilia makanisani baada ya muda kuwakimbia.

Nasema hivi kwasababu nawafahamu wadada Fulani Leo hii wanamtafuta yesu awe bwana na mwokozi wao.
Je hii inatokana na nini?
Kwanini mabinti wengi wakiwa under 30 years wanajiona wao ndiyo wao?
Muda ukiwatupa wanadai kumkimbilia Yesu? Wakiomba kuolewa ndiyo kilio chao?
Karibuni
 
MIAKA 45 UKIZAA MTOTO UTAMLEAJE WAKATI NDO UBIBI UNAKUANDAMA
 
hahaaaaaaa huo ndio muda wa kumjus mungu
 
Chezea kuolewa wewe we acha wengine mpaka soli zinaisha[emoji108] [emoji126]
 
Na wanaume wakifikisha 40 wanakimbilia vijijini kuoa waliofeli form 2!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…