Kwanini wadada mko hivi?

hujawai ambiwa ,Fulani mbona umenisusa lakini sio kuwa kweli umemsusa ila unakuta we ndo actor mkuu wa convo yenu so unaona bora nisimtaute kuliko umtafute mtu asioneshe response nzuri.
Nimetoka kuachwa juzi tu hapa kisa naonekana sijali,kuwa simpendi nikasema sawa.
 
Mdada anakutext

Mdada:"mambo"
Mimi: poa vipi?
Mdada:"fresh"
Mimi: siku yako imekwendaje?
Mdada: "safi"

Hizi ndio tabia zao,next time akikutext "mambo" we mjibu "poa".atajiongeza
 
Mkuu wewe na wenzio mme aibisha kiumen yani watoto wanajaa gheto mnashidwa kuwafanyia umafia aisee mimi binafsi hiyo hali inanikuta lakini ila sijawai kuruhusu demu aingie gheto langu et sijui tupige stori .maana nishajiwekea sheria demu yoyote asiye ndugu yangu akiingia gheto lazima aelewa sio kwa shosti yake pale
 
Nimetoka kuachwa juzi tu hapa kisa naonekana sijali,kuwa simpendi nikasema sawa.
mwenyewe nimeachwa tangu tarehe 2 mwezi wa 5 , kisa ni yeye hataki kuanzisha convo ,ye zake ni ku comment emoji kwenye status halafu anataka ndo uanze kumchatisha namie akikomenti vi emoji na komenti emoji piaa hadi sasa tunakamlisha mwezi mmoja hatujachati
 
Mdada anakutext

Mdada:"mambo"
Mimi: poa vipi?
Mdada:"fresh"
Mimi: siku yako imekwendaje?
Mdada: "safi"

Hizi ndio tabia zao,next time akikutext "mambo" we mjibu "poa".atajiongeza
Asante sana, kuna walee wanacomment "wooh" au mhh status hata isiyohitaji comment ya mtindo huo ,huwa nawaangalia kinoma nasubir nichafukwe siku
 
Mkuu wewe na wenzio mme aibisha kiumen yani watoto wanajaa gheto mnashidwa kuwafanyia umafia aisee mimi binafsi hiyo hali inanikuta lakini ila sijawai kuruhusu demu aingie gheto langu et sijui tupige stori .maana nishajiwekea sheria demu yoyote asiye ndugu yangu akiingia gheto lazima aelewa sio kwa shosti yake pale
yaani kama kwa mkapa vilee akiingia hachomoki, sema wageni wengine sio wangu kwahiyo siwezi wafanyia umafia napia mie Nina ka ustaarabu Fulani hivi kwa mbali
 
Utoto mwingi!! sasa mbususu!! utamu wooote vile!! husikii mashamu shamu wewe?? hata hujui una bahati? sasa unataka ikalie kitanda cha nani?? au wataka midume iikalie? kirahisi tuuu!! Mweeeeee!!! Unaumwa wewe!!

yaani akikalia mara moja!! Muimbie kawimbo kale ka sikinde!! mara Less wanyika!! umshangaze! ivo ivo mpaka nikimaliza nina watoto wakutosha!! kusimulia tu? ntasimulia sana tena nikiwa na mbusus napata nguvu mno ya kusimuliaaan vya uongo mtamu...heee!!

Na vidada vinavyojua kutuangalia usoni kinaitikia tuuuu!!! ...ntasimulia mpaka na za uongo humo! humo!! kwani nini bana......utamu ukikalia kitanda ni bahati!! eti wewe na ndevu zako bila aibu unalia mweee!

omba radhi wewe uwe salama na kamwe usirudie tena, kuwatajataja kijinga hivo!!....mke/mdada anapendwa wewe Dunia nzima, uliza uambiwe! ndo starehe zetu!!

ningekuwa karibu ninge kupiga kofi moja la kushtukiza Mwaaaaa!! akili ikukae sawa...jinga kabisa!
 
Unataka kuona wakiongea na kuchangia kila kitu, wakasirishe hutaacha kuona rangi zote...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom