Kwanini wachunga ng'ombe wengi 'madishi yameyumba'?

Kwanini wachunga ng'ombe wengi 'madishi yameyumba'?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,814
Reaction score
60,685
Nina mifano mitatu kitaani kwetu ya wachungaji hawa wa mifugo jinsi network zao zilivyokata.

Wa Kwanza yeye anaongea peke yake muda wote, wa pili yeye habadili nguo mwwka mzima, wa tatu yeye muda wote anaiwaza Simba club yaani hana stori nyingine zaidi ya Simba na hawa wote wanachunga mifugo ya matajiri wao kwa ujira mdogo sana ila wanaifanya hio kazi kwa moyo kama vile mifugo ni yao yaani hawa feel ile kunyanyasika na kutumika bila malengo na hawana mpango wa kurudi majumbani kwao.

Nilivyohoji watu wakadai hawa wachungaji hulogwa na hao maboss wao wanapoanza kazi huwachanganyia maziwa na mikojo ya punda na dawa nyingine Fulani wanageuka misukule Fulani, sababu nyingine inasemekana kukaa na ng'ombe muda mrefu unapata athari za harufu ya kinyesi chake kwani ng'ombe hula majani mbalimbali mpaka bangi so kale kaharufu kanachanganyika na kinyesi ukikaa naye around muda mrefu ndo inaenda kichwa kinakua kibovu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina mifano mitatu kitaani kwetu ya wachungaji hawa wa mifugo jinsi network zao zilivyokata.wa Kwanza yeye anaongea peke yake muda wote,wa pili yeye habadili nguo mwwka mzima,wa tatu yeye muda wote anaiwaza Simba club yaani hana stori nyingine zaidi ya simba na hawa wote wanachunga mifugo ya matajiri wao kwa ujira mdogo Sana Ila wanaifanya hio kazi kwa moyo Kama vile mifugo ni yao yaani hawa feel ile kunyanyasika na kutumika bila malengo na hawana mpango wa kurudi majumbani kwao.

Nilivyohoji watu wakadai hawa wachungaji hulogwa na hao maboss wao wanapoanza kazi huwachanganyia maziwa na mikojo ya punda na dawa nyingine Fulani wanageuka misukule Fulani,sababu nyingine inasemekana kukaa na ng'ombe muda mrefu unapata athari za harufu ya kinyesi chake kwani ng'ombe hula majani mbalimbali mpaka bangi so kale kaharufu kanachanganyika na kinyesi ukikaa naye around muda mrefu ndo inaenda kichwa kinakua kibovu.
Ni kwa sababu maboss wao wamewaroga ili wasifikirie kuiba mifugo na kuingia mitini
 
Unataka kusema hadi tundu lissu dishi limeyumba?
 
Maisha brother, maisha yakikupiga kila mtu atakuona kama kichaa ni wewe tu na nafsi yako ndo utajijua kuwa ni mzima lakin hakuna atakae kuamini, hata mtoto anaweza kukutuma dukani na ukaenda
wewe una akili!
 
Je umewahi kufanya uchunguzi ukagundua kuwa wanakuwa hvo baada ya kuanza kuchunga ng'ombe? Umewahi kutaka kujua taarifa zao kabla? Kazi uifanyayo uliitafuta au ilikutafuta? Kama ilikutafuta, unaifaa & kama uliitafuta wewe, ukaipata, basi yakufaa.
 
Ni mtazamo tu, hata mtu akianza kuokota makopo akauze amaonekana fuse zime chomoka
 
Nina mifano mitatu kitaani kwetu ya wachungaji hawa wa mifugo jinsi network zao zilivyokata.

Wa Kwanza yeye anaongea peke yake muda wote, wa pili yeye habadili nguo mwwka mzima, wa tatu yeye muda wote anaiwaza Simba club yaani hana stori nyingine zaidi ya Simba na hawa wote wanachunga mifugo ya matajiri wao kwa ujira mdogo sana ila wanaifanya hio kazi kwa moyo kama vile mifugo ni yao yaani hawa feel ile kunyanyasika na kutumika bila malengo na hawana mpango wa kurudi majumbani kwao.

Nilivyohoji watu wakadai hawa wachungaji hulogwa na hao maboss wao wanapoanza kazi huwachanganyia maziwa na mikojo ya punda na dawa nyingine Fulani wanageuka misukule Fulani, sababu nyingine inasemekana kukaa na ng'ombe muda mrefu unapata athari za harufu ya kinyesi chake kwani ng'ombe hula majani mbalimbali mpaka bangi so kale kaharufu kanachanganyika na kinyesi ukikaa naye around muda mrefu ndo inaenda kichwa kinakua kibovu.
Namba 3 nsona unamlenga mtani wangu GENTAMYCINE , sio poa mkuu akija hapa kutawaka😂😂
 
Halafu mkataba ni mwaka mzima na hapo analipwa 200k-400k..

Madogo bado wadogo lakin wamepoteza tumaini na wanaishi kama hakuna kesho,hakuna mungu,hakuna smartphone,hakuna grants,hakuna pisi kali...

Wao wanajua ng`ombe na kukamulia maziwa mdomoni,..
 
Back
Top Bottom