Kwanini wachina tu na si wahindi?

Kwanini wachina tu na si wahindi?

Godwine

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2010
Posts
1,371
Reaction score
285
Kuna wimbi kubwa la wageni kuishi nchini kama wawekezaji lakini kwenye maeneo yanayoweza kufanywa na watanzania . lakini cha kushangaza msako huwa unafanywa kwa wachina tuu na si wahindi na jamii zingine za wageni. naomba msako huwe kwa jamii zote na si kuwabagua wageni hawa na kuwaacha wengine................ nini sababu ya kubagua baadhi ya wageni na kuwazuia kuwekeza kwenye maduka na kuacha wengine?
 
Wachina bado hawajaanza kuwa na deals za aina ya DOWANS and the like. so wakubwa hawafaidiki nao
 
Wachina bado hawajaanza kuwa na deals za aina ya DOWANS and the like. so wakubwa hawafaidiki nao

tuanze msako wa wageni wote na si kuwabagua kuna wengine wanajifanya watanzania wakati wana uraia wa nchi zingine nao tuwatimue
 
siku wahindi wakitimuliwa ntafurahi

Uganda walifanya hivyo, lakini leo nenda Uganda wamerudi na wapo juu vile vile kibiashara.
Nafikiri la msingi ni kwa serikali kusimamia vibali vya kazi au uekezaji na kuhakikisha wanalipa kodi kwa kiwango kilichowekwa.

Pia tukumbuke kuwa wahindi wengine ni watanzania, sio kila mhindi ni mgeni.familia nyengine zenye asili ya kiarabu na kihindi zipo kwa genaration 4,3,2... Munamkumbuka Amir Jamal?
 
Ishu si kuwafukuza, cha kujiuliza ni kwa nini wanakuja kirahisi namna hiyo. Ina maana balozi zetu huko watokako zimerara. Hebu fikirini wana jf mtz akitaka kuomba viza kwenda nje anavyo ulizwa maswali. Kwa maana hiyo balozi zetu ziwajibike. Pili serikali yenu ya nyinyiemu haijaweka mazingira tamanishi ya kuvutia uwekezaji wa ndani. We nenda na aidia yako eti unataka kuwekeza! Inakuwa ngumu sana. Wacha wawepo ili nasi tujifunze umachinga wao!
 
Tuanze na wakwere

KAKA UTAWEZAJE KUWAFUKUZA WAKWERE WAKATI WAMESHIKA NCHI?
cha msingi ni kujua kwanini wachina wenye viduka wanafukuzwa ila wahindi wao wanaachwa?
 
mbona pale mumbai hakuna Mtanzania hata mmoja anayefanya biashara? iweje wao wajazane hapa kwetu na vitu wanavyouza ni hivyo hivyo vya kutoka china? ambavyo hata vijana wetu wanaomaliza darasa la saba wana uwezo wa kuviuza? jamani HUU NDIYO UWEKEZAJI WA NAMNA GANI? NI LINI TANZANIA ITAPATA KIONGOZI MZALENDO?, SASA VIJANA WETU WATAFANYA KAZI GANI?
 
viongozi wa serikali ya ccm wasanii, isssue ya wachina ni kwa sababu wananchi walala hoi wamelalamika kule sokoni kariakoo, tatizo la wageni wanaongia isivyo halali ni kubwa sana kuliko mnavyodhani, hapa tuna makundi ya wahindi, waarabu, wakenya, wasomali, wazungu wa kutoka east europe nk. mbaya wengi wao kutokana na mitandao ya rushwa wameendelea kuwepo hapa nchini kwa muda mrefu tu, wakifanya kazi na biashara ambazo watanzania wanauwezo wa kuzifanya, mfano wakenya wanajipanga kwenye baadhi ya makampuni na kujihakikishia uwepo wao kwa muda mrefu wakishirikiana na immigration na taasisi zingine zinazotoa approval za wao kupata vibali....utaratibu ni kwamba wageni wanatakiwa wawe na utaalamu maalumu ndiyo wapewe hizo nafasi nia ikiwa ku impart kmowledge kwa locals baada ya muda wao kuisha wawaachie, lakini inakuwa sivyo, atatafuta kila sababu hata kumvictimise yule local ili aonekane kwamba hafai....wengine kazi yao kuhamaham....hii imeshindikana kwa sababu hao wageni wakija cha kwanza ni kupata political connection for protection....unajuwa viongozi wetu wengi ni wapenda rushwa.....naomba tuendeleze mjadala huu kwa umakini na kina
 
Bank M ni wamejazana wahindi kutoka India wanajiita ma expatriate wanafanya kazi ambazo wadogo zetu wanaomaliza chuo wanawezakuzifanya wanatoa rushwa uhamiaji iliwaendelee kuishi Tanzania. Kule kwao hawa watu walikua hawana kazi kabisa! Serikali iache kuwaonea Wachina iwatimue na wahindi.
 
WAHINDI WATIMULIWE KWANZA. 8O % ya pesa za maendeleo wanakula wao kwa kupitia tenda feki. WAZIRI SITA ANASEMA RA ANA KAMPUNI 17 NA ZOTE JINA LAKE HALIPO
 
mbona pale mumbai hakuna Mtanzania hata mmoja anayefanya biashara? iweje wao wajazane hapa kwetu na vitu wanavyouza ni hivyo hivyo vya kutoka china? ambavyo hata vijana wetu wanaomaliza darasa la saba wana uwezo wa kuviuza? jamani HUU NDIYO UWEKEZAJI WA NAMNA GANI? NI LINI TANZANIA ITAPATA KIONGOZI MZALENDO?, SASA VIJANA WETU WATAFANYA KAZI GANI?

Nchi zenye viongozi walio-committed na kujua kuwa wao wamewekwa na wananchi huwezi kuta madubwana kama haya yanayofanywa na hawa wetu huku! Hakuna usimamizi mzuri wa sera za kudhibiti wageni na hata hizo zilizopo hazina mizani ya kutosha na ndio maana wameona hii ni nchi kichaka cha wao kuja kuuza hata jungu! Nchi hii jamani chochote kitakacho ongelewa yaani hakikosi kasoro!! MUNGU ATUNUSURU!!
 
rost maini ni boliwud na anamiliki 86% ya urais, so kuwafukuza wahindi, manake mnavuta vuta sharubu za kibarua wake.
 
Kwakweli wahindi watupishe. Halafu wanaume wakihindi wamezidi ufataki.
 
Back
Top Bottom