Niko hapa Tanga. Kuna wadigo weusi tiiih na sigda wanazo.
Nadhani hii inatokana na kusugua uso kwenye sakafu hasa Ile isiyo na vigae. Yaani rough surface.
uarabuni ndio uislamu ulipoanzia na waislamu ni wengi, swali langu ni kwa nini waarabu wao hawana SIGDA ile alama yeusi kwenye paji la uso?kama wa huku kwetu afrika inamaana wao hawaswali sana au
Madini utapeli na upumbavu wa mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]umenichekesha sana ase kwamba litawaka taa kuanzia kaburini Hadi wapi..wakati linaoza linakuwa organic material