Mfatiliaji Senior Member Joined Mar 17, 2011 Posts 118 Reaction score 63 Jul 8, 2019 #41 Ngumbaru said: Sawa mkuu. Nakubaliana na wewe kabisa. Click to expand... mkuu umemkomalia sana salah, lakini kwa msimu huu mane yupo juu ya salah, achilia mbali hao VVD na Allison.
Ngumbaru said: Sawa mkuu. Nakubaliana na wewe kabisa. Click to expand... mkuu umemkomalia sana salah, lakini kwa msimu huu mane yupo juu ya salah, achilia mbali hao VVD na Allison.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jul 8, 2019 #42 Toka 2009 mchezaji Bora wa Dunia anachaguliwa kwa umaarufu na sio kiwango hivyo usitafute logic kwenye shindano ambalo watu wanapiga kura. Subiria hao waandishi wa habari, macaptain na wadau wengine wa michezo wakipiga kura na FiFa wakiingiza kura zao feki ndio utamjua Mchezaji wa Dunia. Hii tuzo ilishapoteza credibility muda tu.
Toka 2009 mchezaji Bora wa Dunia anachaguliwa kwa umaarufu na sio kiwango hivyo usitafute logic kwenye shindano ambalo watu wanapiga kura. Subiria hao waandishi wa habari, macaptain na wadau wengine wa michezo wakipiga kura na FiFa wakiingiza kura zao feki ndio utamjua Mchezaji wa Dunia. Hii tuzo ilishapoteza credibility muda tu.