Kwanini viwanda vya sukari haviko listed DSE?

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Habari wakuu,
Huku kukiwa kuna sintofahamu ya bei ya Sukari kulikosababishwa na ''uhaba feki'', nami najiuliza pia kwa nini viwanda vya sukari haviko listed Dar es salaam Stock Exchange''DSE'', KWA NINI?

DSE ni sehemu ambayo Company inauza hisa zake kwenye jamii(Public), jambo ambalo husaidia kuweka wazi taarifa zake za kifedha na shughuri zingine kwa kutumia Prospectus. Lakini pia itasaidia kufahamu kiasi gani cha faida kinabaki nchini.
Viwanda kibao viko listed kwa mfano:-

DOMESTIC LISTED COMPANIES

TOL Gases Ltd. (TOL) TZ1996100008 15th April, 1998 55,835,490 Production and distribution of industrial gases,welding equipments, medical gases, etc.

Tanzania Breweries Ltd.(TBL) TZ1996100016 9th September, 1998 294,928,463 Tanzania Breweries Limited (TBL) manufactures, sells and distributes clear beer, alcoholic fruit beverages (AFB’s) and non-alcoholic beverages within Tanzania. TBL has controlling interests in Tanzania Distilleries Limited (TDL) and Darbrew Limited.

Tatepa Company Ltd. (TATEPA) TZ1996100065 17th December, 1999 17,857,165 Growing,processing,blending, marketing and distribution of tea and instant.

Tanzania Cigarette Company. (TCC) TZ1996100032 16thNovember,2000 100,000,000 Manufacturing,marketing,distribution and sale of cigarettes.

Tanga Cement Public Ltd Co.(SIMBA/TCCL) TZ1996100057 26thSeptember,2002 63,671,045 Production, sale and marketing of cement.

Swissport Tanzania Ltd. (SWISS) TZ1996100040 26th September,2006 36,000,000 Airports handling of passengers and cargo.

Tanzania Portland Cement Co. Ltd. (TWIGA/TPCC) TZ1996100024 29th September,2006 179,923,100 Production, sale and marketing of cement.

DCB Commercial Bank. (DCB) TZ1996100214 16thSeptember,2008 67,827,897 Commercial bank.

National Microfinance Bank (NMB) TZ1996100222 6thNovember 2008 500,000,000 Commercial bank.

CRDB Bank(CRDB) TZ1996100305 17thJune 2009 2,176,532,160 Commercial bank Company.

Precision Air Services Plc (PAL) TZ1996101048 21stDecember 2011 193,856,750 Air transport services.

Maendeleo Bank Plc. (MBP) TZ1996101683 4thNovember 2013 9,066,701 Commercial bank.

Swala Gas and Oil. (SWALA) TZ1996101865 11th August 2014 99,954,467 Mineral Exploration.

Mkombozi Commercial Bank(MKCB) TZ1996101972 29th December 2014 20,615,272 Commercial bank.

Mwalimu Commercial Bank. (MCB) TZ1996102129 27th November 2015 61,824,920 Commercial bank.

YETU Microfinance PLC. (YETU) TZ1996102344 10th March 2016 6,223,380 Microfinance PLC etc,

JIULIZE kwa nini viwanda vya Sukari hawako kwa DSE?
kwa nini kila siku wanasema biashara haiwaendei vizuri wakati huohuo wanawakera wakulima na nje na wateja wao? kwanini?
Nafikiri wakati umefika sasa, ili tuweze kuwaelewa vizuri na visababu vyao vya kitoto kuhusu uzalishaji, watuuzie share wananchi kwa kujisajiri DSE.
 
Kwanini makampuni ya simu hayako listed DSE?
kwa nii hakuna makampuni ya mafuta?
why hakuna kampuni nyingi tu zinazo miliki industry kwa asilimia 80?

jibu ni so simple...wakienda huko
watalazimika kuwa transparent...na tutajua kodi halali wanayotakiwa kulipa

licha ya kuwepo sheria ya ku force mfano kampuni za simu kuwa listed..
hawaendi na serikali inawa ogopa
 
Viwanda vya sukari ni jibu wanadhulumu sana wakulima wa miwa hasa mtibwa
 
Sidhani kama ni lazima kila kampuni kuwa listed. Kama wanaweza kujiendesha kwa mkwanja wao binafsi sidhani kama wanaweza kuiunga na DSE.
 
Back
Top Bottom