Mi nashangaa sanaa ,Vituo vya Radio na Television vingi vinaplay Muziki tu.
Ni kweli kuwa hawasomi nyakati na Muda huu wangekuwa wazalendo wa nchi hii kuwa fahamisha WATANZANIA WOTE nini kinachoendelea ndani ya Bunge ili WATANZANIA WOTE WA JUWE kuwa Kuna Mawaziri na Viongozi wa Nchi hii Wanatafuna Rasil4mali za WATANZANIA.
Muda wa Ukombozi ndo huu,Muda wa Watanzania Mpaka waishio vijijini kujua Chanzo cha Matatizo yao ni kuwa na Viongozi WACHAFU walio hila Mbaya na Maisha Watoto wetu,Elimu zao na Maendeleo yao kiuchumi.
Ingekuwa busara nchi nzima kwa kipindi hiki kusikiliza bunge na Kuwachia WATANZANIA KUAMUA.
Ingekuwa busara nchi nzima kuangalia na kusikiliza bunge ili watanzania wajue ULAFI wa viongozi na Uongo tulio unyenyekea kwa miaka 50 ya uhuru..
Mytake.UKOMBOZI UMEFIKA WATANZANIA TUAMUE MAISHA YA KUISHI KUJENGA TAIFA LENYE NGUVU KIFEDHA,KIUCHUMI NA KIMAENDELEO.