Hivi viongozi wengi wa Kiafrika waliohawahi kuwa makamanda wa vikundi vya waasi, pia waliopambana na Serikali zilizokuwa madarakani kwa wakati huo, kwanini baada ya kufanikiwa kuingia katika uongozi wa nchi zao kwa njia ya mtutu wa bunduki huwa hawataki KUACHIA MADARAKA kwa njia Demokrasia?
Hata chaguzi ambazo zinafanyika katika nchi zao zinafanyika kibabe na kwa dhuluma tupu. Kwanini wasiwe wanakaa tu madarakani hadi watakapochoka wao kuliko kufanya chaguzi za KIINI MACHO TU!
Hata chaguzi ambazo zinafanyika katika nchi zao zinafanyika kibabe na kwa dhuluma tupu. Kwanini wasiwe wanakaa tu madarakani hadi watakapochoka wao kuliko kufanya chaguzi za KIINI MACHO TU!