Kwanini vichaa wengi hunasibishwa na Usalama wa Taifa? Inakera sana

Dar es salaam ulikuja lini? Tuanzie hapo kwanza...maana jibu lako ni la msingi sana...

Si tu kwamba Dar es Salaam nimekuja lini bali nakusaidia tu kuwa nimezaliwa hapa hapa Mkoani Dar es Salaam tena Wilaya ya Wajanja ya Ilala ( kwa Watoto wa Mjini kabisa ) na katika Hospitali ambayo nina uhakika hutowahi au huna uwezo wa Kwenda Kutibiwa hapo ( sana sana labda utaenda tu Kumuangalia Mgonjwa wako ) iliyopo Baharini kabisa ya Agha Khan jirani na Ikulu na Viwanja wa Gymkhana mbele ya Madaktari Wawili wa Kike kutoka nchini Uingereza Agatha na Caroline Siku ya Jumanne Saa 12 na dakika 45 za asubuhi.

Nasubiri Hoja yangu nyingine ' Pimbi ' mkubwa Wewe!
 
hiyo system wanaipenda sana TISS
•wachoma maindi
•wahudumu wa baa
•wabrashi viatu
•wauza magezeti
•vijiwe vya kahawa
•wahudumu wa benki
•vichaa ndio usiseme wengi sana
n.k
hawa nilio kutajia na hilo la vichaa sio hapa hata nje wanalitumia.kupata zaidi taarifa za kiusalama .
nimesahau kukumalizia na wengine makahaba
respect ericko nyerere
na kitabu chako ujasusi wa kidola

Daah ulipotoa reference ya huyo mlima bamia ndio nimechoka kabisaaaa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe wewe K....ni usalama wa Taifa.Basi kuanzia leo na kuendelea upeleke huko ukichaaa wako na Mimi naendelea na kazi yangu na usinifuate Tena na ukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si tu kwamba Dar es Salaam nimekuja lini bali nakusaidia tu kuwa nimezaliwa hapa hapa Mkoani Dar es Salaam tena Wilaya ya Wajanja ya Ilala ( kwa Watoto wa Mjini kabisa ) na katika Hospitali ambayo nina uhakika hutowahi au huna uwezo wa Kwenda Kutibiwa hapo ( sana sana labda utaenda tu Kumuangalia Mgonjwa wako ) iliyopo Baharini kabisa ya Agha Khan jirani na Ikulu na Viwanja wa Gymkhana mbele ya Madaktari Wawili wa Kike kutoka nchini Uingereza Agatha na Caroline Siku ya Jumanne Saa 12 na dakika 45 za asubuhi.

Nasubiri Hoja yangu nyingine ' Pimbi ' mkubwa Wewe!
Kwaio kuzaliwa Aga Khan unaona ufahari? Sasa kama ingelikua ni kweli hio taarifa yako ya kuzaliwa Aga khan usingeweza kuuliza swali lako lililomhusu "Malaika" unaweza kuzaliwa Aga Khan na ukaenda kuishi porini hivyo ukawa unaendelea kua na maswali ya kindezi...pia hakuna uthibitisho wowote ule ulioiweka zaidi ya porojo kimsingi umezaliwa BENACO kambini, sema unaleta ujuaji mwingi hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom