Kwanini vichaa wengi hunasibishwa na Usalama wa Taifa? Inakera sana

Aliyekuambia Mimi ni Mkimbizi au Mnyarwanda au Mtutsi nani? Hivi unawezaje Kuthibitisha Uraia wa Mtu kwa Mabandiko yake tu hapa Jamvini? Yaani kuna Watu huwa nikiwa nawaambieni kila Uchao kuwa ni ' Wapumbavu ' msiwe mnakataa na Kukasirika kwani huwa nakuwa sahihi kwa 100%. Na natamani Siku moja ujue ni sababu ipi Kubwa iliyonifanya niji ' Brand ' kama Mnyarwanda tena Mtutsi hapa Jamvini na kwamba kwa Kufanya Kwangu huko kumesaidia nini, wapi na mahala fulani tofauti na vile ambavyo Mpumbavu Wewe na Wenzako mnadhani. Huna ' IQ ' ya kuweza Kumsoma na Kumjua vyema GENTAMYCINE muelekeo wake au anafanya nini au Fikra za Falsafa zake zipoje ila kwa wenye Akili Kukuzidi hapa Jamvini wameshajua mbinu yangu Kuu na huwa nalenga nini hasa au Kitu gani. au unadhani haya maneno ya " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " yapo tu Kimakosa? Bishana na unaofanana nao Kiakili za Kiupumbavu ila huwa nafurahi sana jinsi ninavyowateseni, kuwahamisheni mawazo yenu, kuzisumbua Akili zenu na mnavyohangaika nami huku nikizidi tu Kuwasanifu na Kuwadharau.
Sasa wewe mkimbizi unamtesa nani? Unamhangaisha nani? Nani anahangaika na wewe kwanza enh? Mimi kuzijua falsafa zako zinaweza kusaidia nini katika maisha yangu au hata ya wana JF wengine kama mimi nikiwa mpumbavu basi wewe utakua ni mpumbavu kiongozi maana hakika huo upumbavu umenifundisha wewe hapo sasa wewe ndo mpumbavu uliepitiliza viwango maana unawadharau na kuwasanifu watu usiowajua tena wa mtandaoni..kwa kifupi kwenye hii dunia ya kufikirika ya mtandaoni haswa jamiiforums wewe ni mkimbizi iwe ni kweli ama si kweli hilo sio swala la mjadala..na wala kujua ukweli wala kutokujua ukweli haiwezi saidia kitu..sawa bwana mkimbizi..?
 
Kila ukikutana na Watanzania wasioelewa mambo wakiona kichaa muokota makopo unasikia kwamba ni afisa usalama!

Ifike hatua mbadili mtazamo, Dunia ya sasa na teknolojia tuliyonayo si mnadhani kichaa au mtu analazimishwa kujifanya kichaa ili apate habari za ku report?

Maana nashangaa hata watu wenye elimu kubwa wanaamini katika upuuzi huu, hamjui mnawakera wenyewe TISS?


Ukichaa wako una nafuu,unaweza kutype.hutupati ng'o
 
Husiwaite wapuuzi. Yawezekana wanamaanisha kabisa.
Kutokana na vitu/matukio ambayo yanafanywa na usalama wa taifa, yanafanana na matukio ambayo yanafanywa na vichaa.

NB:
Hii ni siri. Husitake kujua watu wa usalama wanafananaje au wanatumia mbinu gani katika kufanikisha majukumu yao
 
Kuna rafiki yangu ambaye mjombake alikuwa/alijulikana na kuonekana kichaa. Siku alipofariki yule kichaa, Serikali ndiyo ilishughulikia ule msiba, watu wakajiuliza iweje kichaa afariki serikali igaramikie msiba? Hapo ndipo siri zikaanza kutoka.
 
Hahahahaha
Kuna tozi mmoja alihamia mtaan kwetu miaka ya nyuma kapanga nyumba nzima alaf akiwa off anakaa counter bar ya jiran anamlisha gambe mwenye nyumba siku nzima jamaa kaz yake ilikua kubrash viatu posta sometimes anarud mtaani v8 leusi linashinda kitaa siku nzima nadhan jamaa alikua anapata shida sana kuigiza unyonge wakati yeye ni tozi mbobezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee leo umevuta kingine sio bange hii hii
Mara paaap vitumbuaaa vitumbuaaa kwenye kindoo kidogo Amrish Poor nikaona isiwe tabu vinane sawa vya mia nane, siunajua napigana kwa namba nane wangu na viziro vitatu nilivyo vidumbukiza bila ridhaa yao Duniani, toka jana asubuhi charaakate bayee nill sijanyunyuzia kitu na hii ni asubuhi tofauti na jana jino kwa jino mswaki.

Natokeza sura ya uchachu Actor ki Bongo movie nikasema kumekucha but haina shida nilikula nao, nilipanda nao kisha walipo nipo so nanata na beat ya Majani Bongooo record hatari. Ngoja nichekee ooohoo mtu pori jina Simba mjukuu wa Chief, Mshindi sikumjua ila nilijiamini kwasababu nimevaa Shati jeupe ingekuwa ukungu mweusi kimeo ningeshika Adabu.

Heshima waungwana wote life lazima liyeyeeekee ki msobari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha anajifanya mjuaji sana
Kwaio kuzaliwa Aga Khan unaona ufahari? Sasa kama ingelikua ni kweli hio taarifa yako ya kuzaliwa Aga khan usingeweza kuuliza swali lako lililomhusu "Malaika" unaweza kuzaliwa Aga Khan na ukaenda kuishi porini hivyo ukawa unaendelea kua na maswali ya kindezi...pia hakuna uthibitisho wowote ule ulioiweka zaidi ya porojo kimsingi umezaliwa BENACO kambini, sema unaleta ujuaji mwingi hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom