Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,492
Kwaio kuzaliwa Aga Khan unaona ufahari? Sasa kama ingelikua ni kweli hio taarifa yako ya kuzaliwa Aga khan usingeweza kuuliza swali lako lililomhusu "Malaika" unaweza kuzaliwa Aga Khan na ukaenda kuishi porini hivyo ukawa unaendelea kua na maswali ya kindezi...pia hakuna uthibitisho wowote ule ulioiweka zaidi ya porojo kimsingi umezaliwa BENACO kambini, sema unaleta ujuaji mwingi hahahaha
Stori za TISS tena naona zimeletwa!Kwenye suala la ukusanyaji taarifa huwezi kuachia teknolojia itumike utafeli sana.
Ukitaka upate taarifa husika vaa ngozi ya mazingira yale unayochunguza.
Vichaa wapo na hawatakuja kuisha na ni njia nzuri sana ya kupata taarifa.
We ngedere unakera sanaBasi tufanye Wewe ndiyo umezaliwa hapo Agha Khan Hospital je umesharidhika? Pumbavu.
kuna member humu huwa anajifanya usalama wa taifa na vistori vyake vya kutunga.
Sasa naona ameukomalia huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wewe K....ni usalama wa Taifa.Basi kuanzia leo na kuendelea upeleke huko ukichaaa wako na Mimi naendelea na kazi yangu na usinifuate Tena na ukome
Sent using Jamii Forums mobile app
97%mkuu.Kwenye suala la ukusanyaji taarifa huwezi kuachia teknolojia itumike utafeli sana.
Ukitaka upate taarifa husika vaa ngozi ya mazingira yale unayochunguza.
Vichaa wapo na hawatakuja kuisha na ni njia nzuri sana ya kupata taarifa.
Daaah kweli mluga luga wewe ni wa kuja...Basi tufanye Wewe ndiyo umezaliwa hapo Agha Khan Hospital je umesharidhika? Pumbavu.
Si tu kwamba Dar es Salaam nimekuja lini bali nakusaidia tu kuwa nimezaliwa hapa hapa Mkoani Dar es Salaam tena Wilaya ya Wajanja ya Ilala ( kwa Watoto wa Mjini kabisa ) na katika Hospitali ambayo nina uhakika hutowahi au huna uwezo wa Kwenda Kutibiwa hapo ( sana sana labda utaenda tu Kumuangalia Mgonjwa wako ) iliyopo Baharini kabisa ya Agha Khan jirani na Ikulu na Viwanja wa Gymkhana mbele ya Madaktari Wawili wa Kike kutoka nchini Uingereza Agatha na Caroline Siku ya Jumanne Saa 12 na dakika 45 za asubuhi.
Nasubiri Hoja yangu nyingine ' Pimbi ' mkubwa Wewe!
Daaah kweli mluga luga wewe ni wa kuja...
Sasa mimi naanza vipi kujifananisha na mkimbizi? Naanzia wapi?Ulidhani Mimi ni ' Mbwigira ' Mwenzako kiasi kwamba unataka Kujifananisha nami? Mpuuzi kweli Wewe!
Life style ya kichaa ni tizi tosha huhitaji mazoezi kuwa na sixpakiAisee kweli ... kichaa gani huyu ana six Pack .. mwili wake unaonyesha kabisa kuwa nimfanya mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi naanza vipi kujifananisha na mkimbizi? Naanzia wapi?
kwaio kauanza sasahivi alivyopagawa,,...Kwani kuanza ukachero unatakiwa uanze lini?