Kwanini uzoefu wa kupata kazi ni zaidi ya miaka 10?

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Ivi hawa wanaotangaza kazi na kuomba experience ya 10 years wako serious wanataka watu kweli au ni zuga tu?

Kwa nini hawataki vijana? Kijana mwenye 10 years experience ni wachache na wengi kuwapata labda aache kazi alipo. Wako ajirani tayari.

Nilikuwa naomba serikali iwape adhabu Kali sana.
 
Ukiona hivyo hawahitaji kijana kwa hiyo kazi ,experience ya mtu hua inaendana na umri pia.

Sasa adhabu ya nini wewe unadhani mtu kama Director anatakiwa awe na experience mwaka 1 au 2 si hivyo.
,tafuta tu zinazokufaa huko ipo siku na wewe utafika.
 
Kuna makundi matatu ya kazi
1:Seniors, hawa kwakuwa huwa mabosi ktk taasisi zao kwa nationalwide, mf.Mkurugenzi mkuu au mtendaji mkuu n.k, hawa lazima sifa lazima iwe ujuzi wa muda mrefu kama miaka 10 hivi,au miaka kama 5 hivi na elimu ya Masters.
2.Wakuu wa idara katika eneo moja,mfano mhasibu mkuu wa mahali n.K ,hapa lazima sifa ni pamoja na experience ya mda wa kawaida kama miaka 5 hivi na shahaa.
3.Fresh graduates positions,nako hapa kuna sifa zake
 
Hawatak kuajir maana vigezo vyao ni sawa na kupunguza pressure! Wanatimiza adha yao ya kusomesha NAMBA maana bila kusona NAMBA mbele kwa mbele bdo ccm haijajulkana nakuonesha uhalisia wake!
 
Back
Top Bottom