of course hio si sawa. Lakini sisi tumwangalie MAGUFULI KAMA MAGUFULI. TUSIMASSOCIATE NA WANAFIKI
watakua pamoja wapi? mbona umeandika habari isiyojitosheleza. kwani kuna ubaya gani magufuli kumtembelea Kikwete au kinyume chake?Acha Hekaya za abunuas leo hii utaona watakuwa pamoja ndio utanielewa nina maana gani!!
watakua pamoja wapi? mbona umeandika habari isiyojitosheleza. kwani kuna ubaya gani magufuli kumtembelea Kikwete au kinyume chake?
Hizi zote hadaa za kisiasa.
Iliuchoke sikiliza Dakika ya 1.10-1.14 ya William Lukuvi akitumia mradi huu kwenye harakati za Uchaguzi pamoja na madhila waliyowafanyia Wakaazi wa Kigamboni toka 2008-2015.
CC Yericko Nyerere
Unasubiri nini kumkata uyo na ser za ulaghai/kijinga?Kusema ukweli sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 inakataza hilo. Kwa ufupi miradi yote iwe ya serikali au wapinzani inapaswa kusimana. hili swala still ni questionable kwa kuwa haiwezekani maendeleo ya wananchi yasimame hadi november. MashIrika mengi yanakataliwa kuzindua miradi kipindi hiKi. Yalishanikuta.