Kwanini uzinduzi wa Miradi wakati wa kampeni?

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Nakumbuka siku si nyingi Kikwete alikataliwa kuingia kati ya Sweden au Norway kisa ilikuwa wakati wa kampeni za urais,hivyo vyombo vya habari vingemuonesha na kusababisha mwenyeji wake kusikika zaidi kwa vyombo vya habari.

Je, barabara ambayo imekamilika ujenzi wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita ni halali kuzinduliwa sasa na rais ambaye anampigia debe mgombea wa chama tawala!!?

Nimejiuliza mara nyingi kwanini nchi nyingi za kiafrika hatwendi mbele taratibu naanza kuelewa ni kwanini!!??

Miafrika ndivyo tulivyo!
 
Haitawasaidia kwani hizo pesa za ujenzi huo tunadaiwa wala siyo kodi za ndani ambazo zimekusanywa

Hivyo huo ni Unazi na kwa watu makini pamoja na wananchi wenyewe hawaitaki tena hicho Chama cha wezi
 
Nakumbuka siku si nyingi Kikwete alikataliwa kuingia kati ya Sweden au Norway kisa ilikuwa wakati wa kampeni za urais,hivyo vyombo vya habari vingemuonesha na kusababisha mwenyeji wake kusikika zaidi kwa vyombo vya habari.

Je, barabara ambayo imekamilika ujenzi wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita ni halali kuzinduliwa sasa na rais ambaye anampigia debe mgombea wa chama tawala!!?

Nimejiuliza mara nyingi kwanini nchi nyingi za kiafrika hatwendi mbele taratibu naanza kuelewa ni kwanini!!??

Miafrika ndivyo tulivyo!

Mbinu zote zimefeli iliyobaki ni hiyo tu
 
Kwani Kikwete anagombea tena?
Sweden walimzuia Kikwete kwa sababu host wake alikuwa incumbent na mgombea. tofautisha.

Acha Hekaya za abunuas leo hii utaona watakuwa pamoja ndio utanielewa nina maana gani!!
 
Nakumbuka siku si nyingi Kikwete alikataliwa kuingia kati ya Sweden au Norway kisa ilikuwa wakati wa kampeni za urais,hivyo vyombo vya habari vingemuonesha na kusababisha mwenyeji wake kusikika zaidi kwa vyombo vya habari.

Je, barabara ambayo imekamilika ujenzi wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita ni halali kuzinduliwa sasa na rais ambaye anampigia debe mgombea wa chama tawala!!?

Nimejiuliza mara nyingi kwanini nchi nyingi za kiafrika hatwendi mbele taratibu naanza kuelewa ni kwanini!!??

Miafrika ndivyo tulivyo!

Hawana ujanja zaidi ya huo,ukizingatia waTz tunaonekana wote ni wajinga mbele ya watawala.Chaguzi zijazo watakuja na pipi kutugawia maana ndo zarau zao zinakoelekea sasa.Pia usisahau mtaji wao wa kijinga Polisisiem na Usalamasisiem.
..you can fool some people for sometimes but you cant fool people all the times
 
Kwani ukuona kwa chenge viberiti, kila aliyepanda gari kwenda kwenye mkutano wa magufuri alikuwa anapewa kiberiti
 
Naogopa tunadaiwa kila mtz dola mia tano na ushei mimba wanaokufa wanaozaliwa wazee, vijaana, woyte pamoja kila mmoja wetu anadaiwa sh. 700,000
 
Hawana ujanja zaidi ya huo,ukizingatia waTz tunaonekana wote ni wajinga mbele ya watawala.Chaguzi zijazo watakuja na pipi kutugawia maana ndo zarau zao zinakoelekea sasa.Pia usisahau mtaji wao wa kijinga Polisisiem na Usalamasisiem.
..you can fool some people for sometimes but you cant fool people all the times

Nimekupata vizuri kiongozi "Sometimes but not all time-Bob Marley"
 
Kusema ukweli sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 inakataza hilo. Kwa ufupi miradi yote iwe ya serikali au wapinzani inapaswa kusimana. hili swala still ni questionable kwa kuwa haiwezekani maendeleo ya wananchi yasimame hadi november. MashIrika mengi yanakataliwa kuzindua miradi kipindi hiKi. Yalishanikuta.
 
Huwezi kusimamisha shughuli za serikali kwa sababu ya uchaguzi.mbona hujalalamika kwanini hospitali zinahudumia wagonjwa?
 
Nakumbuka siku si nyingi Kikwete alikataliwa kuingia kati ya Sweden au Norway kisa ilikuwa wakati wa kampeni za urais,hivyo vyombo vya habari vingemuonesha na kusababisha mwenyeji wake kusikika zaidi kwa vyombo vya habari.

Je, barabara ambayo imekamilika ujenzi wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita ni halali kuzinduliwa sasa na rais ambaye anampigia debe mgombea wa chama tawala!!?

Nimejiuliza mara nyingi kwanini nchi nyingi za kiafrika hatwendi mbele taratibu naanza kuelewa ni kwanini!!??

Miafrika ndivyo tulivyo!
Tatizo la Wanasiasa MASLAHI kama chaggadema ni kutaka MATATIZO YA WATU YAENDELEE KUWEPO ILI WAYATUMIE KAMA MTAJI WA KISIASA.Kama kweli mnapenda ustawi wa watu kwanini uchukie inapozinduliwa hata kama imechelewa.Stpid...
 
Nakumbuka siku si nyingi Kikwete alikataliwa kuingia kati ya Sweden au Norway kisa ilikuwa wakati wa kampeni za urais,hivyo vyombo vya habari vingemuonesha na kusababisha mwenyeji wake kusikika zaidi kwa vyombo vya habari.

Je, barabara ambayo imekamilika ujenzi wake zaidi ya miaka mitatu iliyopita ni halali kuzinduliwa sasa na rais ambaye anampigia debe mgombea wa chama tawala!!?

Nimejiuliza mara nyingi kwanini nchi nyingi za kiafrika hatwendi mbele taratibu naanza kuelewa ni kwanini!!??

Miafrika ndivyo tulivyo!

Hizi zote hadaa za kisiasa.

Iliuchoke sikiliza Dakika ya 1.10-1.14 ya William Lukuvi akitumia mradi huu kwenye harakati za Uchaguzi pamoja na madhila waliyowafanyia Wakaazi wa Kigamboni toka 2008-2015.

CC Yericko Nyerere

HABARI - SEPT.14.2015| TBC

by SIMU. Tv

  • 1 day ago
  • 126 views

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Ya Makazi Mhe. Lukuvi amezindua mradi wa Mpango kabambe wa mji Mpya wa Kigamboni.
 
Back
Top Bottom