Jamani kuna watu wajiendekeza duniani, yani kuna watu kila mwaka wao wanazaa kila mwaka ashusha mtoto utafikiri afanya mashindano. Basi hatukatai zaeni maana nyuchi zenu lakini wazaa tuu pesa ya huduma kuweka msaidizi wa kazi asaidie kazi na kulea watoto huna wategemea watu baki wajitolee kuja saidia kulea watoto wasiposaidia wanaanza lawama kama wakati mnatiana mimba mliwekeana mkataba bwana nyinyi zaeni tutasaidia kulea lakini wapi hakuna.
Dunia ya sasa watu wanazaa kwa malengo kama wajua huna uwezo wa kutoa huduma kwanini unazaa, watoto wahitaji uduma hivyo ukiamua kuzaa ujipange hasa si kuleta lawama ndo mana kuna uzazi wa mpango asa nashangaa watu kama hawa hawajawahi sikia uzazi wa mpango?
Lingine najiuliza wanawake kama hawa wanawaza kwa kutumia nini? Khaaa dunia ya sasa malengo hatuzai tu ilimradi tuonekane na sisi tuna kizazi tunangalia na watu wa kuzaa nao pia kila mtoto ahitaji maisha bora jamani si shida na dhiki kama huna uwezo bora usizae bora ufe na mayai yako kuliko kuja wapa watoto mateso.